Ni kweli mkuu, lakini halmashauri ililazimishwa kuwa na Meya wa kuchonga na serikali na madiwani na mbunge wakajikuta wanashindwa kuibana halmashauri ifanye inayopaswa kufanywa.Huko ndio kulikuwapo na mbunge wa Chadema
Bongo bado tupo nyuma sana kimaendeleo jamani
ukaya ukunoga....east west.................Bongo bado tupo nyuma sana kimaendeleo jamani
alichoacha mkoloni hadi leo ni kile kileBongo bado tupo nyuma sana kimaendeleo jamani
Nenda sasa hivi uone Mwanza oh Mwanza....alichoacha mkoloni hadi leo ni kile kile
Hapa siyo mwanza... Uongo haufai