Mwanza hapafai, msilinganishe na Arusha

Huwezi linganisha Mwanza na Arusha. Mwanza ni tishio. Fanya safari ya kwenda Buswelu, Mkolani, Airport, Luchelele, Bwiru, Mwanachi wewe mwenyewe utaikubali Mwanza. Arusha siyo kitu kwa Mwanza tembelea Unga limited utayaona majabu ya dunia hii. Mji wa Arusha hauna mpangilio, nyumba zimebanana hakuna barabara za mitaa.
 
Mwamba ngoma huvutia upande wake
 
Mtoa mada hujafika Mwanza.... au la sivyo lengo lako kutuchafua tuí ½í¸í ½í¸....njoo nikupeleke duka la Dubai upate kila ki2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…