Wapendwa JF kwa yeyote ambae ameweza kupata gazeti la mwanachi au daily news la leo atusaidie kama hawa jamaa wametoa majina mana walisema leo plz msaada tafadhalin wapendwa

Kama kuna yeyete anae ngojea kazi toka Mwanza community bank asahau kabisa maana, mie nilifika hadi office za mwanza community bank na wakanithibitishia kuwa wao hawajatoa tangazo lolote la kazi.

Hawa watu wa MCB inaonekana bado wako nyuma sana, ata website 2 hawana! Wangesha yakanusha hayo madai ya ajira wazi na hamna mtu angekua ana wafatilia hao matapeli!

Jamani kwa yeyote aliyetumiwa e-mail kuhusu kupata kazi Mwanza Community Bank naomba atujulishe tupate uhakika wamesha anza kuwatumia watu e-mail:shocked:
walisema wataandika majina kwenye gazeti la mwananchi au daily news la kuanzia tarehe 20 hadi rarehe 1 may, atakae weza ona majina hayo kwenye hayo magazeti atujuze