Nakupinga mkuu.arusha ni mji mkubwa tuu tena sana kuanzia tengeru hadi city center km15 na kote huko huoni pori au eneo la wazi.pia kutokea kisongo au duka bovu hadi mjini km 20 sasa utasemaje unaumaliza mji kwa masaa.kama huijui arusha bora unyamaze
Post sent using JamiiForums mobile app