Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Dec 14, 2022 #6,641 Cha asubuhi said: Shamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri Click to expand... Oh saw sawa....sema igoma Ina jina kubwa .inabeba Hadi maeneo ya jirani ..hapo kwenye hyo garage Kuna nmb .lakini imeandikwa igoma branch..the same pale kiwanda Cha coca .ni nyakato lakin CRDB wameandika igoma branch
Cha asubuhi said: Shamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri Click to expand... Oh saw sawa....sema igoma Ina jina kubwa .inabeba Hadi maeneo ya jirani ..hapo kwenye hyo garage Kuna nmb .lakini imeandikwa igoma branch..the same pale kiwanda Cha coca .ni nyakato lakin CRDB wameandika igoma branch
Busan JF-Expert Member Joined Aug 19, 2022 Posts 644 Reaction score 736 Dec 14, 2022 #6,642 Mikdde said: Kituo chenyewe ni hiki Click to expand... Hii kitu itapendeza sana nasikia na Kishiri watajenga kubwa zaidi, tupieni na Ya Mirongo
Mikdde said: Kituo chenyewe ni hiki Click to expand... Hii kitu itapendeza sana nasikia na Kishiri watajenga kubwa zaidi, tupieni na Ya Mirongo
I intelligent man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 706 Reaction score 1,126 Dec 14, 2022 #6,643 Kuna mtaa unaitwa ndofe huko kuna nyumba nzuri balaa Cha asubuhi said: Shamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri Click to expand...
Kuna mtaa unaitwa ndofe huko kuna nyumba nzuri balaa Cha asubuhi said: Shamaliwa inaanzia usawa wa ilipp garage ya cola cola mitimirefu hadi pale tandabui kwenda uko ndani Kifupi Shamaliwa ipo mpakani kati ya igoma na kishiri Click to expand...
N Ngokongosha JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 3,400 Reaction score 7,610 Dec 15, 2022 #6,644 Mikdde said: Kituo chenyewe ni hiki Click to expand... Mkuu unatumia kidole gani hicho? 🤣
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Dec 15, 2022 #6,645 Ngokongosha said: Mkuu unatumia kidole gani hicho? Click to expand...
Rajab Endless Senior Member Joined Oct 2, 2019 Posts 121 Reaction score 167 Dec 15, 2022 #6,646 Ngokongosha said: Mkuu unatumia kidole gani hicho? Click to expand...
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Dec 16, 2022 #6,649 Slowly said: View attachment 2448616 Click to expand... Good
Sorcerer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2017 Posts 1,694 Reaction score 2,482 Dec 16, 2022 #6,650 BUGANDO - MWANZA TANZANIA
Sorcerer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2017 Posts 1,694 Reaction score 2,482 Dec 16, 2022 #6,651 Mwanza South
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,263 Reaction score 4,471 Dec 16, 2022 #6,652 Cha asubuhi said: BUGANDO - MWANZA TANZANIA View attachment 2448947View attachment 2448951View attachment 2448961View attachment 2448962View attachment 2448963View attachment 2448964View attachment 2448965View attachment 2448966View attachment 2448967View attachment 2448968View attachment 2448971 Click to expand... Duuuhw hii Oncology Department niliiacha ndio bado mabati tu wamezungusha
Cha asubuhi said: BUGANDO - MWANZA TANZANIA View attachment 2448947View attachment 2448951View attachment 2448961View attachment 2448962View attachment 2448963View attachment 2448964View attachment 2448965View attachment 2448966View attachment 2448967View attachment 2448968View attachment 2448971 Click to expand... Duuuhw hii Oncology Department niliiacha ndio bado mabati tu wamezungusha
L laizerg JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 2,915 Reaction score 3,570 Dec 16, 2022 Thread starter #6,653 Slowly said: View attachment 2448615 Click to expand... Hili jengo siamini kama litakuwa refu. Niliacha ndo wanachimba mashimo ya nguzo mwezi wa tisa
Slowly said: View attachment 2448615 Click to expand... Hili jengo siamini kama litakuwa refu. Niliacha ndo wanachimba mashimo ya nguzo mwezi wa tisa
I intelligent man JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 706 Reaction score 1,126 Dec 17, 2022 #6,654 laizerg said: Hili jengo siamini kama litakuwa refu. Niliacha ndo wanachimba mashimo ya nguzo mwezi wa tisa Click to expand... Hili jengo lipo wap na ni hotel au commercial building
laizerg said: Hili jengo siamini kama litakuwa refu. Niliacha ndo wanachimba mashimo ya nguzo mwezi wa tisa Click to expand... Hili jengo lipo wap na ni hotel au commercial building
L laizerg JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 2,915 Reaction score 3,570 Dec 17, 2022 Thread starter #6,655 intelligent man said: Hili jengo lipo wap na ni hotel au commercial building Click to expand... Mtaa wa karuta
intelligent man said: Hili jengo lipo wap na ni hotel au commercial building Click to expand... Mtaa wa karuta
Kitombile JF-Expert Member Joined Mar 21, 2021 Posts 7,149 Reaction score 7,966 Dec 17, 2022 #6,656 MTAA WA KANGAYE, MWANZA
Mikdde JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 6,310 Reaction score 5,968 Dec 17, 2022 #6,657 Kitombile said: MTAA WA KANGAYE, MWANZA View attachment 2449744View attachment 2449748 Click to expand... Kangae CBE .hii Iko kata ya buswelu, nyakato au mecco?
Kitombile said: MTAA WA KANGAYE, MWANZA View attachment 2449744View attachment 2449748 Click to expand... Kangae CBE .hii Iko kata ya buswelu, nyakato au mecco?
Kitombile JF-Expert Member Joined Mar 21, 2021 Posts 7,149 Reaction score 7,966 Dec 17, 2022 #6,658 Mikdde said: Kangae CBE .hii Iko kata ya buswelu, nyakato au mecco? Click to expand... Kata ya nyakato.
Mikdde said: Kangae CBE .hii Iko kata ya buswelu, nyakato au mecco? Click to expand... Kata ya nyakato.
Kitombile JF-Expert Member Joined Mar 21, 2021 Posts 7,149 Reaction score 7,966 Dec 17, 2022 #6,659 Kitombile said: Kata ya nyakato. Click to expand... Kesho nitapiga baadhi ya mitaa ya nyasaka na kangaye tena.
Kitombile said: Kata ya nyakato. Click to expand... Kesho nitapiga baadhi ya mitaa ya nyasaka na kangaye tena.
L laizerg JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 2,915 Reaction score 3,570 Dec 17, 2022 Thread starter #6,660 Kitombile said: MTAA WA KANGAYE, MWANZA View attachment 2449744View attachment 2449748 Click to expand... Bado mipango miji wanafeli sana. Nyumba ni Kali sana ila haziko kwenye mpangilio
Kitombile said: MTAA WA KANGAYE, MWANZA View attachment 2449744View attachment 2449748 Click to expand... Bado mipango miji wanafeli sana. Nyumba ni Kali sana ila haziko kwenye mpangilio