Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,798 Nov 7, 2013 #21 Ni mazoezi ya kushtukiza ya kupambana na ugaidi. Mleta uzi amekurupuka nadhani alikuwa Long call!
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Nov 7, 2013 #22 Ndibalema said: Du! si ajabu polisi wakasema ni magaidi ndio waliovamia. Click to expand... hawakawii, pia wanawe.za kuwa wao .ni wahusika wakuu...
Ndibalema said: Du! si ajabu polisi wakasema ni magaidi ndio waliovamia. Click to expand... hawakawii, pia wanawe.za kuwa wao .ni wahusika wakuu...
Entim JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 4,024 Reaction score 2,271 Nov 7, 2013 #23 hakuna kitu, sisi maafande tupo kwenye simulation exrcise kama vile tumevamiwa na tunajihami sisi wenyewe ndani ya dk 15 m23, alshabab, nk tunawadaka kama njiwa pori vile.
hakuna kitu, sisi maafande tupo kwenye simulation exrcise kama vile tumevamiwa na tunajihami sisi wenyewe ndani ya dk 15 m23, alshabab, nk tunawadaka kama njiwa pori vile.