Extreme Project kwa Mwanza,,
Ujenzi wa Meli mpya na ukarabati mkubwa wa meli za zamani MV Victoria, MV Serengeti na MV Butiama,,
Ujenzi wa Stendi mpya na za kisasa Nyamhongoro na Nyegezi,,
Soko kuu la kisasa katikati ya jiji,,
Upanuzi wa uwanja, ujenzi wa jengo la abiria na jengo la mizigo, uwanja wa ndege wa Mwanza,,
Hotel inayotazamiwa kuwa kubwa na ya kisasa zaidi kanda ya ziwa ya NSSF eneo la Capri Point,,
Barabara za lami kuzunguka jiji na kuunganisha wilaya na vitongoji vyote jijini,,
Hospital mpya na ya kisasa ambayo ni tawi la Bugando Medical Center eneo la Bugando jirani na ilipo hospital hiyo,,
Hospital mpya na ya kisasa ya Agha Khan,,
Hospital ya Butimba,,
Daraja la Kigongo to Busisi ziwa Victoria (linatajwa kuwa daraja lefu zaidi Africa Mashariki)
Hizo ni baadhi ya project ambazo wana wako site wanapiga kazi usiku na mchana,, na juzi tu tumeshuhudia safari ya majaribio ya meli iliyorejeshwa upya ya MV Victoria kutoka Mwanza kwenda Bukoba,,
Wakati wengine wamelala Mwanza inasonga mbele,,
Peace and much love for my home town Rock City,,
Picha ataleta
laizerg na
Ngokongosha