Mwanye kazi anipe plza

Mwanye kazi anipe plza

Kila mtu anaujuzi wa computer, acha kukurupuka andika vizuri kitu kinacho eleweka kuweka details zote tuone.
 
Hongera kwa kuamua kutumia Mtandao wa Kijamii kutafuta Kazi. Ushauri wa bure
1. Rekebisha kichwa cha Mada kisomeke Mwenye Kazi anipe Tafadhali
2. Lugha za mkato kama "plza" zinaweza kukufanya usipate Kazi kwa Watu makini.
3. Jaribu kueleza uzoefu wako katika baadhi ya Kazi ulizowahi kufanya au maarifa ya kipee uliyonayo yanayo kidhi Kazi tarajiwa.

Nategemea utafanikiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom