kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,207
- 7,364
Marekebisho madogomadogo ni muhimumm naona bora ubaki hivo hivo maana huo ni uumbaji tu mkuu
Kama hauna msaada pita kushoto mkuu, sio lazma ucommentMtoto wa kiume unaona aibu kuwa na mwanya!? Something is wrong in your personality!
Thanks mkuuu, unayo hospital au dentist yyte wa kumrecommend niende?Mimi sio dentist ila nachojua inawezekana kurekebisha dental formula kwa kutumia zile vyuma wanavaa kwenye meno wanaita "braces" Kama sijakosea. Jaribu kumuona daktari wa meno.
Je siez hata ongeza la bandia?
DuhMmmm kivip utaharibu muonekano wa meno mdomoni yaan yalivyo umbwa ndio hivyo
Uko vizuri mbona?unaona hata mm bado haya jakaa yakabanana vizuri ko ww jikubali tu