Amesema baada ya kupita bila kupingwa kama mbunge wa Rungwe Mashariki (Busokelo) sasa ameamua kung'atuka ubunge na kwamba sasa ni wakati muafaka wa kulitumikia taifa katika ngazi nyingine!
Ametoa kauli hiyo leo wakati akichangia bungeni hoja ya waziri wa nchi ofisi ya rais!
Double std ya hili lichama la nape kukemewa wapendwa wa wananchi na kuacha vipanyabuku vikitamba nasema si sawasawa
Amesema baada ya kupita bila kupingwa kama mbunge wa Rungwe Mashariki (Busokelo) sasa ameamua kung'atuka ubunge na kwamba sasa ni wakati muafaka wa kulitumikia taifa katika ngazi nyingine!
Ametoa kauli hiyo leo wakati akichangia bungeni hoja ya waziri wa nchi ofisi ya rais!
Yaani we pimbi, hata kutamka urais hajatamka!Amesema baada ya kupita bila kupingwa kama mbunge wa Rungwe Mashariki (Busokelo) sasa ameamua kung'atuka ubunge na kwamba sasa ni wakati muafaka wa kulitumikia taifa katika ngazi nyingine!
Ametoa kauli hiyo leo wakati akichangia bungeni hoja ya waziri wa nchi ofisi ya rais!
Bila shaka katika lichama lao ndiye pekee aliyebaki bla k..sh.fa
Hana kashfa??? Huna taarifa zake.
Bila shaka katika lichama lao ndiye pekee aliyebaki bla k..sh.fa
Wanafanana sura, hawezi kumkemeaDouble std ya hili lichama la nape kukemewa wapendwa wa wananchi na kuacha vipanyabuku vikitamba nasema si sawasawa
Hivi baba mzazi wa nape ni nani kweli!?Double std ya hili lichama la nape kukemewa wapendwa wa wananchi na kuacha vipanyabuku vikitamba nasema si sawasawa
Tafuta nyuzi humu zipo nyingi humu tu. TTCL.....Tiririka fastaaaa