Mwandamanaji anapogombaniwa

Afadhali aachiwe na Polisi kuliko raia. Wakimuachia raia,kichwa chake kitakuwa mali ya ardhi

Mzee Tupatupa
 
Ingekuwa polisi wa kibongo utumbo wa mwandamanaji mmoja ungekuwa nje.. Na wengine ungesikia wamekatwa na kitu chenye ncha kali..
 
Wapiga picha wanaomba songombingo liendelee,hawa wanaweza kukuacha unakufa wao wanachojali ni picha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…