Am humbled bro.... #thanks
Uhusiano umeyumba sana...sana I tell you! For more info subiria Mwanayumba: Part III
Kwenye haya masuala ya mahusiano/mapenzi huwa nahisi kama ninalala na bundi....
What happened in Morogoro bro!?? DO tell a bit...
Na ukirudi usisite kusema neno...Hizi story za Mentor ilikuwaje zikanipita kwa mfano??? Ngoja nitarudi rasmi hapa.....
Brother umepoteaaaaaa...Ngoja niitafute pati wani kwanza....
Mh! Huyo wako hukumpenda bro...mauno yalikuchanganya.I meant ile stori ya teddy, nakumbuka nilipeleka mzigo wa madira moro kipindi flani cha mavuno, nilikaa kama wiki huko ndo nikakutana na mtoto husna doh! nilipata game/ONS moja ya kibabe nakumbuka mpaka leo, nilikuwa nimepanda basi narudi lakini namuwazia husna, bahati mbaya hakuwa na simu tukapotezana, mpaka sasa sijui kama nampenda au nimemis tu mchezo wake!
teh! ndo hivyo mkuu, ila maisha inabidi yaendelee hamna namna!Na ukirudi usisite kusema neno...
Brother umepoteaaaaaa...
Mh! Huyo wako hukumpenda bro...mauno yalikuchanganya.
umesaidia kuufanya uzi huu kuonekana ktk pita pita zangu vinginevyo nilikiwa nimepitwa.Duuuh
kaka mentor tulikubaliana uwe unanitaja kwenye nyuzi kama hizi
inakuwaje napitwa hivihivi naukubali sana utunzi wako.
baada ya hayo sasa ngoja nianze na part 1 kisha nitarejea hapa.
Mentor kumbe ile ya kuathirika nayo ilikuwa story tuu! Duuuh wewe chiboko uliliza wengi aisee!nILIKUWA najaribu kuku-mention (tag) inashindikana!!!
Mentor ni jipuMentor kumbe ile ya kuathirika nayo ilikuwa story tuu! Duuuh wewe chiboko uliliza wengi aisee!
Kabembeleze happy wako mwayaNo comment!
Usilitumbue tu...!
Mkuu nilijua kuna part III???