Unapotoka na msichana yoyote yule, hata kama ana kuzidi kipato kwa kiasi gani, hakikisha wewe ndio unakuwa msimamizi wa show. Ikija bili, akitaka kulipa , mwambie " Please, nitalipa mimi ", hakikisha hauruhusu mwanamke huyo kutumia hata senti tano yake kulipia chochote kile.... Usikubali kumruhusu mwanamke atumie pesa yake kwenye mtoko.Najua una degree, masters,au/na PHD but am sure as hell waalimu wako hawajawahi kukufundisha kitu kama hiki...

Inategemea unatoka na nani.. kama mkuu ndio umeibuka na kifaa huko kwenye mizunguko yako kwa mara ya kwanza poa, hapo unalinda heshima, lakini kama ni mtu wako wa siku nyingi hapo ni makubaliano tu, mke au mume ni sawa ku-fix the bill..!!Unapotoka na msichana yoyote yule, hata kama ana kuzidi kipato kwa kiasi gani, hakikisha wewe ndio unakuwa msimamizi wa show. Ikija bili, akitaka kulipa , mwambie " Please, nitalipa mimi ", hakikisha hauruhusu mwanamke huyo kutumia hata senti tano yake kulipia chochote kile.... Usikubali kumruhusu mwanamke atumie pesa yake kwenye mtoko.Najua una degree, masters,au/na PHD but am sure as hell waalimu wako hawajawahi kukufundisha kitu kama hiki...
Unapotoka na msichana yoyote yule, hata kama ana kuzidi kipato kwa kiasi gani, hakikisha wewe ndio unakuwa msimamizi wa show. Ikija bili, akitaka kulipa , mwambie " Please, nitalipa mimi ", hakikisha hauruhusu mwanamke huyo kutumia hata senti tano yake kulipia chochote kile.... Usikubali kumruhusu mwanamke atumie pesa yake kwenye mtoko.Najua una degree, masters,au/na PHD but am sure as hell waalimu wako hawajawahi kukufundisha kitu kama hiki...
Hivi kumbe kuna wanaume hawana uwezo kitandani? anayways hapa ninaongea na mwanaume ambaye tayari ana uwezo kitandani, siongei na makhanithi kama wewe.
Unapotoka na msichana yoyote yule, hata kama ana kuzidi kipato kwa kiasi gani, hakikisha wewe ndio unakuwa msimamizi wa show. Ikija bili, akitaka kulipa , mwambie " Please, nitalipa mimi ", hakikisha hauruhusu mwanamke huyo kutumia hata senti tano yake kulipia chochote kile.... Usikubali kumruhusu mwanamke atumie pesa yake kwenye mtoko.Najua una degree, masters,au/na PHD but am sure as hell waalimu wako hawajawahi kukufundisha kitu kama hiki...
Nikikutoa mtoko nitalipa maana mi ndo nimekuhost na sintakualika kama sijapanga kutumia. Ila kwa namna yoyote ile mtoko ukiuanzisha wewe lazima ulipe maana wewe ndo umenialika. Unataka chukua hii, hutaki tupa kule!