Jameni mnisaidie, kiswahili hichi kigumu; Kuflirt ndiyo nini? Isijekuwa kuamshana nyege tu nasikia siku hizi ati kuna mapenzi ya simu isijekuwa ndo hayo maflirt.
Ka ni hayo, monica sikupendi, utaniletea balaa na mume wako wa juzi tu hata miezi miwili bado na ulisemaga atii akutosheleza
Hi anza wewe kuni PM,then i wil start to flow with the wind,is it ok?Habari zenu?
Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.
Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
Naomba Ni pmFafanua hili..... Yupo huru unamaanisha kutooa..??
kuchat ili iweje au kunanyongeza coz hata humu tuna chat kama kwanjia ya sms weka nambaHabari zenu?
Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.
Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
Umekosea ulipotudanganya umriahsante kwa kuja jamani, baadhi yenu wacheni kuwa too negative.
Ni PM.Habari zenu?
Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.
Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
ni check 0757555715Habari zenu?
Natafuta mwanaume wa kuflirt nae, yaani chart za hapa na pale awe tayari kuwa rafiki yangu pia.
Umri kuanzia miaka 30 kwenda mbele, mimi nina miaka 30 pia.
Ambaye yupo huru na anajiamini ani PM.
We ni Ke au MeMimi Nina miaka 29 kasoro.. ninapenda kuflirt na Wewe nikupm ninajiamini... ama sina vigezo???
[emoji23][emoji23][emoji23] ke kwanini?
Ha ha ha so you wanna flirt with your fellow ke...unahatari[emoji23][emoji23][emoji23] ke kwanini?
I was not serious lakin....
SawaNimeshapata wadau
Msiniandikie tena meseji.