Jamani umeolewa na mwanaumwe hataki kazi.
Asubuhi adi jioni anashinda home na housegal na mtoto wake..
Wakati wanaoana alikuwa na kazi akapata lidandansi? au ameacha kazi baada kuona wife ana vijisenti kidogo?
Kama sio mume wako wewe unajuaje hafanyi hivyo kutokana na makubaliano yao? Kama mke wake mwenyewe anamuendekeza jamaa we unataka abadilike alafu? Wakati mwingine unatakiwa ukiona kitu cha ajabu kwenye nyumba za watu ushangae tu kisha uendelee na mambo yako. Huwezi jua huyo mwanamke anafaidika vipi na hiyo hali, inawezekana ndio njia pekee ya yeye kumfanya huyo mwanaume akae nae na HATAKI kumpoteza.
Alikuwa na kazi ya mkataba.Mkataba wakati umebakiza miezi mitatu mkewe alimwambia tafuta kazi mapemaa ili usije kupata taabu.wapi hivyo toka amemuoa walikaa miezi 3 tu akiwa na kazi toka hapo adi leo hii ni miaka 2 sasa.
Ni mme wake mara ya kwanza alikuwa anamfuga hataki amege wanawake wengine sasa kamchoka kamgeuka wanawake si ndo zenu tunazijua sana hizi mbinu zenu.
Alikuwa na kazi ya mkataba.Mkataba wakati umebakiza miezi mitatu mkewe alimwambia tafuta kazi mapemaa ili usije kupata taabu.wapi hivyo toka amemuoa walikaa miezi 3 tu akiwa na kazi toka hapo adi leo hii ni miaka 2 sasa.
'Zetu' mimi na nani?Embu acha uzushi we Fidel. .
Huyo aliyemwendekeza mume miaka miwili baadae ndio aone anachofanya sio 'uanaume' ana lake jambo.
Mbano,
Huyo dogo ana umri gani? Pengine bado bwa mdogo sana kiakili amepewa jiko mapema.
Zenu wanawake, huyu alikuwa anajifugia mwanaume ndani kuna wengine mnafuga viserengeti boy kuna wengine mnafuga vibabu kikichuja tu ndo mambo hadharani kama hivi.
Kama ambavyo ndio zenu wanaume kulelewa?
Acha kuweka watu kwenye makundi yasiyowatosha.
fukuzia mbali kama ubaya na iwe ubayasio dogo ana miaka 38
wanaume suruali, wapo kila kona, kazi kulia lia tu