Mwanaume vs mwanamke

Kama ww nimwanaume basi ukwel unaujua at the age of 20s ulikuwaje kama bado hujafika basi utafika kama ni mwanamke basi uliza kwa wanaume then come and share ur ideaz
Hawatakuelewa na umri huo ndiyo wanawake walio olewa wanachepuka sana waume zao wanafanya wapo busy kumbe ni dolo wanasingizia kazi nyingi majukumu kumbe hamna kituvni bila bila
 
Hizi ni kampeni za wapinzani wa chama tawala cha chaputa. Hivi watu wa vyama pinzani hamtaki kutii agizo la mwenyekiti wa chama tawala kuwa kampeni mpaka mwaka kesho? Kwa hili siwezi lifumbia macho lazima tulifuatilie!!!!!
 
Nyeto Hushushaa uzalendo wa taifa kwa kijanaaa epukaa CHAPUTA
 
m
mkuu acha kuvuruga chama chetu huo ni uchochezi ujue mwenyekiti anakuskia ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…