Itakua FoSS kunako kitivo cha CoHU mkuuhii kozi inatolewa faculty gani
Sijawahi kuona uongo mkubwa namna hii,Mwanaume anapo kuwa kwenye age ya 20s anakuwa very sexual active na huwa asilimia kubwa ya akili zao huwaza sex kitu ambacho kinakuwa kinyume na wanawake wao kwenye hii age 20s huwa hawapo sexual active as boys.
Wanawake wanapo fika age 35 and above wanaanza kuwa sexual active hasa hasa wanapo fikia age ya 40s kitu ambacho ni kinyume na wanaume
So plz plz wanaume angalia sana usitumike sana kwenye hii age 20s hasahasa wale wanaofanya masterbation surely am telling utakuja kujutia unapofika age 40s utaona kama ni familia mke anauhitaji sana lakn mume uwezo na uhitaji umepungua kwa kias kikubwa na ukichunguza kwakias kikubwa hii ndo huwa chanzo cha wanandoa kuchepuka .
So nikushaur ww mwanaume unaefanya nyeto jifunze madhara ya nyeto kisha fanya maamuz nyeto inafaida na hasara ukijaribu kulinganisha kweny mzani utaona hasara ni nyingi na mbaya sana kulinganisha na faida jithamini jione mwenye thamani sijaribu kuudhuru mwili wako kwa nyeto ambayo inakupa furaha ya muda mfupi tu.
Hiyo sio bios its a psychologySijawahi kuona uongo mkubwa namna hii,
Kwamb mwanmke anakuwa very sexual active kwenye 35-40ages, ???
Mkuu kajipange upya, hizi pumba umezomwaga hapa hazina uhalisia wowote
Sijui hizo biology mlisomea chini ya mti
Kama ww nimwanaume basi ukwel unaujua at the age of 20s ulikuwaje kama bado hujafika basi utafika kama ni mwanamke basi uliza kwa wanaume then come and share ur ideazSijawahi kuona uongo mkubwa namna hii,
Kwamb mwanmke anakuwa very sexual active kwenye 35-40ages, ???
Mkuu kajipange upya, hizi pumba umezomwaga hapa hazina uhalisia wowote
Sijui hizo biology mlisomea chini ya mti
Yani kipindi ambacho mwanamke anaelekea kutokuzaa/kutoweza shika mimba ndio anakuwa active sexually? aise ndio kwanza nasikia..!
Hii tafiti nadhani itakuwa imefanyika Kinondoni tu na siyo Duniani koteMwanaume anapo kuwa kwenye age ya 20s anakuwa very sexual active na huwa asilimia kubwa ya akili zao huwaza sex kitu ambacho kinakuwa kinyume na wanawake wao kwenye hii age 20s huwa hawapo sexual active as boys.
Wanawake wanapo fika age 35 and above wanaanza kuwa sexual active hasa hasa wanapo fikia age ya 40s kitu ambacho ni kinyume na wanaume
So plz plz wanaume angalia sana usitumike sana kwenye hii age 20s hasahasa wale wanaofanya masterbation surely am telling utakuja kujutia unapofika age 40s utaona kama ni familia mke anauhitaji sana lakn mume uwezo na uhitaji umepungua kwa kias kikubwa na ukichunguza kwakias kikubwa hii ndo huwa chanzo cha wanandoa kuchepuka .
So nikushaur ww mwanaume unaefanya nyeto jifunze madhara ya nyeto kisha fanya maamuz nyeto inafaida na hasara ukijaribu kulinganisha kweny mzani utaona hasara ni nyingi na mbaya sana kulinganisha na faida jithamini jione mwenye thamani sijaribu kuudhuru mwili wako kwa nyeto ambayo inakupa furaha ya muda mfupi tu.
Hii itakuwa biology ya mars siyo bure..Sijawahi kuona uongo mkubwa namna hii,