" ! Mwanaume Utakuwa Wewe !!!!!!!!!!! "

hiyo namba tatu ha ha ha!!! unaonekana upendi kumwonea mwanamke vizuri sana ila kuna ambao kama mijianaume any way ni vizuri.
 
Hapo ni kuondoka tu kuepusha shari. Ugomvi sio mzuri hasa ukiwa na hasira ni bora kuwa kimya.
 

Ndio maana nikasema huo ni ugonjwa wa hisia

Hiyo kauli ya huyo mwanamke inatokana na kujua kuwa huyo mwanaume ni ----- na hawezi kumfanya lolote
Hayo ndio matokeo ya kuzuia kipigo at any coast!
Huyo askari ni wa hovyo sana
Makosa ya mtu mwingine anajiadhibu yeye
Kama angekuwa anatoa adhabu stahiki kwa kila kosa huyo mwanamke asingethubutu kufanya huo upuuzi na kama angefanya angefanya kwa tahadhari kubwa na hata angekamatwa asingejibu hivyo!
 
kweli ka mkubwa umenena vyema japo wachache tulio na mawazo kama hayo hatueleweki,ila huo ndo ukweli hata kwangu ni rahisi kumuacha wife kuliko kumpiga.
 

Safiiiii mjukuu
 

...na akikupiga makofi... kwa kisingizio eti hasira.. na ukiangalia chanzo ni uzushi tuu...
 
Ha ha ha,hapo itabidi aniambie kibamia ka-compare na kipi.
Na baada ya kuona na-kibamia what next? Nikiongeze au anaenda tafuta kingine?
mi hata akinichekea wakati sicheki...amecross the line.
hata tukienda out akiongeongea sanaaa..amecross the line.
akipika kitu sikipendi... amecross the line.
nikitoka kazini akiniambia pole wakati nina mawazo yangu......amecross the line.
akiniletea malavidavi wakati nina machungu yangu.... amecross the line
 
saa zingine jamani wanaume mtuhurumiage sisi wanawake kwa kuwa tuna hali Fulani fulani kwa jinsi tulivyoumbwa hali ambazo hupelekea at tymes kuharibu moods zetu, sasa hapo mood ikishaharibika ndio kila mwanamke kwa jinsi alivyo yeye binafsi anaweza aka-act vibaya kumkwaza mwingine au mwingine akawa anajielewa situation aliyeko na akawa calm tu. Ndio maana tunasisitiziwaga kuwa matatizo na hasira za nyumbani tusizilete ofisini/sehemu ya kazi kwani kwa kufanya hivyo waweza tukana mtu au kumjibu mtu vibaya, nk, na kuharibu kazi pamoja na mahusiano mazuri yaliyopo...siongei hivi kutetea ishu hiyo iliyotolea, NO! Naongea hivi ili tu jamii tuwe na tabia ya KUVUMILIANA sana sote wake kwa waume, na kama mtu umekwazika ni bora uongee na huyo aliyekukwaza kwa upole na ustaarabu kuliko kuja juu km yeye kwani wote mkiwa juu hakutakuwa na muafaka wala kuelewana hapo...mmoja akiwa juu mmoja awe chini ili amani ipatikane mwisho wa siku....so huwezi jua labda pia huyo dada alikuwa kapagawa na yake huko ndio kaona hapo ndio pa kumalizia hasira zake....pole sana kwa kukwazika, ni dogo sana hilo usijali.
 
Hapo ni kuondoka tu kuepusha shari. Ugomvi sio mzuri hasa ukiwa na hasira ni bora kuwa kimya.

Yah sometimes ni vizuri kusubiri hasira ipoe, kitu cha kufanya in the heat of ze moment huwa ni hatari sana
 
Hapo kwenye kisungu ndio umeniacha msituni chalii yangu mada iko poa ila ungeshuka kibongo tu kuongeza wigo
 
punda??!emu leta heshima kama unajihisi unaelement za upunda unataka kutuaminisha na mama yako pia anazo??! mwanamke ni mtu pia naye anahasira sema kukupiga hawez ndo maana anaongea hivyo usisubutu kumgusa mwanaume halisi hupigana na wanaume wenzie

unaijua heshima ww au unataka arguements zisizo na mashiko hapa,,,,,,kwani mtu anapokwambia una akili kama za mbayuwayu inakugeuza ww kutoka ulivyo au kinakubadilisha nini,,,,,,,,,mind your own business mimi ni mwanamke na nimeongea hivyo najua nini nimemaanisha sio kukurupuka tu.
 

me pia mwanamke stress zako zisikufanye utushushe wanawake kiwango cha punda dada we ni mtu huna kasoro yoyote uko kamili hivyo ulivyo kwa mpango wa mungu.labda ungesema some tymz mm asnum nakuwaga kama punda isingenihusu hata kidogo ila huwez sema wanawake alafu utegemee support naijua heshima vizur sana ndo maana nimekukumbusha ur mother can never act lyk punda!!!
 

wala hajakosea bwana, mwanamke ni kama punda, bila sekeseke hasogei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…