" ! Mwanaume Utakuwa Wewe !!!!!!!!!!! "


Any female that abuses a man's pride....... ni mwendo wa vitasa tu...
 
Hongera sana Asnam!!
Ivi utaniambia ikiwa hupigwi hata ukifanya kosa, Huaga unaami haupendwi?
duh nishushie kipondo kinacholingana na kosa,sio kipondo hadi nishindwe kutoka ndani weeeeee patachimbika............over
 
Last edited by a moderator:
Nani amesema kuwa anaweza kumpiga mkewe kwa kosa lolote lile?
Umesoma nilichoandika au umekurupuka tu?
Hii kauli yangu hapa chini hukuiona uliponi-quote?

Unapanic nini sasa? Usikimbie kivuli chako.

Hapana!
Kuna binadamu bila kipigo hawaendi

Na kuna makosa yanastahili kipigo
Sio sahihi kuzuia kipigo "at any coast"
Kipigo ni fundisho


Ila hapo kwenye kufumania napinga kipigo kutumika!!!!!
 
huyo mwanamke sio mstaarabu hata kidogo
hana heshima
si rahisi kutoa kauli hiyo tena mbele za watu wengine
hajiheshimu na hastahili kuheshimiwa pia

alafu:kupiga mwanamke sio kufundisha

Ukiona unafikia stage ya kupigana/kumpiga na mwanamke kwa sababu yote hiyo.
Kaa chini ujiulize kama wewe ni mwanaume kweli.
 
Mh! Sijaona huo mfano wa maneno unayoweza kushusha kipigo!
Leave it!!!
Ok!
...
Mbona mi nahisi hayo mambo ya kupigana umeyaelezea kiimani zaidi (japo sio kidini)
Kwanini unahisi?
Huna uhakika?
Jee unamaanisha kama mtu hapigi kabisa, huyu hapendi kiukweli???
Exactly
Binadamu tuna udhaifu mkubwa
Ili tujifunze ni lazima tukosee
Na tunapokosea ni lazima tuwajibike inavyostahili!!!!!!
 
word
ts like mwanaume anakua hana uhakika na uwezo wake wa kutatua kitu hadi nguvu au mabavu vitumike
Ukiona unafikia stage ya kupigana/kumpiga na mwanamke kwa sababu yote hiyo.
Kaa chini ujiulize kama wewe ni mwanaume kweli.
 
Unapanic nini sasa? Usikimbie kivuli chako.

Unaelewa nini nilipoandika "Sio sahihi kuzuia kipigo at any coast"
Unajua maana ya kukizuia kitu kwa gharama yoyote?
 
Hongera sana Asnam!!
Ivi utaniambia ikiwa hupigwi hata ukifanya kosa, Huaga unaami haupendwi?

we naupenda mwili wangu kuliko hata huyo mume,nimeruhusu kukumbushwa pale tu nilipokosea tena sio kila kosa nipigwe ka hasha yale makosa mazito ambayo hayawezi kurekebishika bila kushtuliwa mwil kidogo......otherwise nyumbani patachimbika si kidogo.
 
hey
mtoto achapwe na mtu mzima pia?
ukiona mtu hakuelewi achana nae
Wa binadamu kukosea na kuhitajika kuwajibika kwa namna stahiki

Sio mwanamke tu!
Yoyote anastahili kipigo kama anastahili!
 
Jibu:
Yap! Sina uhakika!
But ukisema mtu asiyepiga hapendi kiukweli, sio sahihi, na hicho kilichokufanya uamini kipigo ni muhimu huo ni mtazamo (imani yako {japo sio ya kidini!})
...
Swali:
Banadamu wote ni dhaifu! Jee wewe utakubali uchapwe pale unapokosea?
Au wewe haukosei?
Au huu mtazamo hautumiki kutoka kwa Mke kwenda kwa Mume??

Ok!
...

Kwanini unahisi?
Huna uhakika?

Exactly
Binadamu tuna udhaifu mkubwa
Ili tujifunze ni lazima tukosee
Na tunapokosea ni lazima tuwajibike inavyostahili!!!!!!
 
mwanamke anaweza kukuprovoke to the extent ukimwacha ivi ivi bila kipigo hata mwenyewe atashangaa wewe ni mwanaume wa namna gani

Halafu muda mwingine huwa nawashangaa sana ukiwa mpole ukijaribu kuongea nae kwa upole anakuona ----- ila uki mtreat harshly ndo akili zinakuwa zinamkaa sawasawa .
 
kuna kupiga na kubutua, nadhani huyo mwanamke alihitaji kubutuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…