Nani amesema kuwa anaweza kumpiga mkewe kwa kosa lolote lile?Amaaa,kama unaweza kumpiga mkeo kwa kosa lolote lile (ukidhani una mfunza),
Na kuna makosa yanastahili kipigo
Hapana!
Kuna binadamu bila kipigo hawaendi
Na kuna makosa yanastahili kipigo
Sio sahihi kuzuia kipigo "at any coast"
Kipigo ni fundisho
Ila hapo kwenye kufumania napinga kipigo kutumika!!!!!
mwanamke anaweza kukuprovoke to the extent ukimwacha ivi ivi bila kipigo hata mwenyewe atashangaa wewe ni mwanaume wa namna gani
Una viwili au???????? Kipi kitendaji????????????
Sio maneno tu hata vitendo pia vipo vinavyostahili kipigoEiyer ni maneno gani ambayo unahisi unaweza ukashusha kichapo kwa mtu hata umpendae?
Hili wanawake mtalipinga sana lakini ukweli upo wazi kwenye hili!!!!!!alafu:kupiga mwanamke sio kufundisha
nitamwambia stop talking lets fight......lol (just kidding)! Nitamwangalia kwa dharau na kumuonyesha ishara kuwa she is crazy then nitasepa sitomuongelesha chochote maana kunawengine wanapenda ligi isiyoisha mwishowake akuaibishe buree!
Hili wanawake mtalipinga sana lakini ukweli upo wazi kwenye hili!!!!!!
Sio maneno tu hata vitendo pia vipo vinavyostahili kipigo
Hapa naweza nisiseme kwa usahihi kabisa maneno au vitendo vinavyoweza kupelekea nikatoa kipigo
Lakini hiyo haimaanishi hakuna vitendo au maneno ambayo yanaweza kumsababisha mtu yoyte akatoa kipigo
Lakini kumbuka kipigo hicho ni stahiki!
Kupenda ni pamoja na kuonyana yale mabaya
Kama unaemwita mpenzi humuonyi kwa vitendo stahiki kulingana na kosa humpendi hata kidogo!
Kuna upendo na ugonjwa wa hisia
Anaejua upendo hawezi kupinga kipigo stahiki kwenye kosa husika
Mgonjwa wa hisia ndio atapinga!
Husninyo said:akiniambia nina kibamia nampiga mangumi.
Ha ha ha,hapo itabidi aniambie kibamia ka-compare na kipi.
Na baada ya kuona na-kibamia what next? Nikiongeze au anaenda tafuta kingine?