Mwanaume Usithubutu Kufanya hili

Armani William

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2014
Posts
253
Reaction score
771
Wanaume,

Usimfungulie biashara mwanamke wako.

Usifikirie hata kufungua biashara chini ya jina lake.

Fungua biashara yako na umuajiri.

Shughulika naye kama mfanyakazi mwingine yeyote na uwe thabiti.

La sivyo, biashara itaanguka na wewe ndiye utakayeshindwa.
 
Cc: DeepPond aliwahi kuleta mkasa mrefu haapa na wife wake yaliyokukuta sijasahau mkuu,
 
Una maanisha lipi kati ya haya
1. Atakugeuka na kujimilikisha biashara na usione pesa wapi ikielekea
Au
2. Hatakua na shauku ya kuona hio biashara ikikua auze au asiuze kwake ni sawa aende au asiende kufungua haimuumizi kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…