Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

Jirani usipost pesa na mpenz, watamnyakua nyaku ubaki unatoa macho.

Sifuatilii maisha ya watu, ukishaweka kitu status umeweka public.
Naweka na ntaweka siogopi lolote, km wa kunyakuliwa atanyakuliwa tyuu!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Andiko saaaafi,na mwenye kusoma atakuwa kaelewa
 
Mademu wahuni wanapenda sana tuwe tunawaanika waonekane.
 
Umeandika vyema sana. Ila shida sio kuwaanika bali tabia zao.

Background za hao wanawake zikoje?
 
Bado naendelea kuwakumbusha
 
Nakutafuta mkuu uje huku utubu maana hali ishakuwa tete
 
Hivi unaweka ndani mwanamke kama Wema Sepetu umbaye ni attention seeker unategemea nini.
 
Hivi unaweka ndani mwanamke kama Wema Sepetu umbaye ni attention seeker unategemea nini.
Kuna vijana wanapenda kujilipua sana kumbe wauni wanawachora tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…