Hujamuelewa wewe MwanaFa. Yeye anawakilisha wanaume wasioona mantiki ya kuhonga na anapinga kununua penzi.Hii nyimbo inatudhalilisha wakaka tusio na kipato, hivi basata hawaioni au wameruhusu watu tudharauliane.
Kama ni hivyo basi waturudishie nyimbo yetu ya chura ambayo wadada walikuwa wanalalamika inawadhalilisha mitaani wakati wenyewe wanaume tuliipenda.
Siyo kwa malalamiko haya itakuwa umeitwa mwanaume surualiHii nyimbo inatudhalilisha wakaka tusio na kipato, hivi basata hawaioni au wameruhusu watu tudharauliane.
Kama ni hivyo basi waturudishie nyimbo yetu ya chura ambayo wadada walikuwa wanalalamika inawadhalilisha mitaani wakati wenyewe wanaume tuliipenda.