Mwanaume suruali VS mwanamke sketi


^^
Hivi hiyo ni tafsiri sahihi ya neno mwanaume suruali?
^^
 
Mi niko poa tu,me sio uyo bwna ha ha ha ha ha ha
we nae!! una avatar mbaya kama nini!!!

sijui ndo sura yako??

teh.. mambo vipi Sam Love!!! miss you nigga!!
 
Last edited by a moderator:
Me ni mkulima wa magimbi , viazi, mihogo, ndizi na kahawa... sijui niko kundi gani hapo hebu nisaidie!!!!!!!!!!!!!
 
Me ni mkulima wa magimbi , viazi, mihogo, ndizi na kahawa... sijui niko kundi gani hapo hebu nisaidie!!!!!!!!!!!!!

nimekupenda, nimekupenda, nimekupenda wee mpaka batani za l, o , v, na e zimejificha..!
 
Mapenzi ni mapenzi tu yaki kuingia haya chagui ume angukia kwa jobuless gani utapenda tu lakini yanetesaga some time jamani tuji kwamue tu chapa zipatikane maana dunia inazidi badilika kila day? Ukiangalia tumetoka kwenye batani juzi saiv ni kutachi tuu? So tuwe chonjo.. Unga robo. Kimaisha yakileo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…