Mwanaume serious, Mume material

Hata mimi wanakera, wanatudharirisha sana wanawake. Ndo maana mtu wa namna hiyo akib**wa au akitupwa baada ya kuchezewa mi wala hainiumi
 

kuna players wanaoact serious sana na wanawapata wadada wengi.. hilo halina mjadala!

always a serious player is trusted.. because he dont joke!


by the way, kuoa ni ishu nyingine ambayo iko tofauti.. wapo wengi ambao wanajifanya kuwa serious lakini wanaangukia

kwa wanwake vicheche sana! na ukiwauliza kwanini? wanasema nimempenda tu.. love doesnt ask where, how, when, for whom and etc.

similar to women, wapo wanawake wastaarabu mno, lakini wamedondoka kwa wanaume machoko tu, kila siku ni mijeledi, matusi na aina nyingine nyiingi za kudhalilishana!

ndoa nyingi hasa za kiafrika ziko katika mfumo wa cross multiplication!
 
mmmmh kwan ww haujamsikia jamani au haupo ktk kundi hilo
 

Kwa kuonyesha thaman yao inabidi wavae mavazi ya heshima....pia inabidi watambue kwamba heshima haijileti tu bali inaletwa so anayejiheshim pia ataheshimiwa
 
Mmmmh! Jf ni zaidi ya vituko show, unaweza umia mbavu hadi zikachanika na hujui
Ujumbe wako umefika mkuu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kinachouma sana ni kuona mtu kavaa nguo ya ajabu kabisa kanisani.... Yaani baadhi ya dada zetu ni zigo kabisa. Mind you, i love n respect you guys..
 
Akishayabana MAKALIO,kuonyesha NYONYO anakuwa na tiketi ya kujiita DIVA

bongo bhana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…