njia ya kwenda uwani iko wapi alafu kk humu muna choo cha nje tu
Full Udhalilishaji !Mwanaume SIRIAZ akikusifia kwa kutembea Nyonyo nje,nyie mnaita Boobs,na MAkalio yakishika Nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati,huwa na nia moja tu,KUKUMEGA,KUKUCHAPA,na KUKUSHIKISHA ADABU KITANDANI,na Sifa zitaishia hapo.Hakuna Mwanaume SIRIAZ anayeweza kukubali kuoa MWanamke asiye SIRIAZ...Mwanamke anayeweza kuacha nje MALI ambazo ni FAHARI ya mmewe zionwe na kila Mwanaume.Nionyeshe Mwanamke mwenye tabia hiziza Hovyo aliyeolewa na Mwanaume Serious.Wanaume sio wajinga kama wanavyoonekana usoni...Mpaka akupe Pete yake lazima awe na uhakika Level ya Ujinga kwenye akili yako ni Ziro maana anaoa KIONGOZI WA FAMILIA nasio Muuza mwili.SHKAMOONI WOTE MNAO-BOOST NYONYO NA KUBANA KALIO,Kumegwa na kuachwa kwako ni GUARANTEE...Hatuoi Ujinga!
In this world nothing is certain than Tax and Death.
Full Udhalilishaji !
Mkuu... Hawa ni Bibi zetu,Mama zetu, Dada zetu, Shangazi zetu, pia maBinti zetu... Viumbe ambavyo vinakiungo kikubwa ndani mwetu !! Shame kwa wanaume wasiyojua fadhila za "wanawake".Kweli mkuu!Eti NYONYO mara KALIO.....Teh teh teh
Mkuu... Hawa ni Bibi zetu,Mama zetu, Dada zetu, Shangazi zetu, pia maBinti zetu... Viumbe ambavyo vinakiungo kikubwa ndani mwetu !! Shame kwa wanaume wasiyojua fadhila za "wanawake".
Mkuu... Hawa ni Bibi zetu,Mama zetu, Dada zetu, Shangazi zetu, pia maBinti zetu... Viumbe ambavyo vinakiungo kikubwa ndani mwetu !! Shame kwa wanaume wasiyojua fadhila za "wanawake".
santeeee kwa kutambua uwepo we2.Mkuu... Hawa ni Bibi zetu,Mama zetu, Dada zetu, Shangazi zetu, pia maBinti zetu... Viumbe ambavyo vinakiungo kikubwa ndani mwetu !! Shame kwa wanaume wasiyojua fadhila za "wanawake".
Mkuu nimekuelewa, Kilichopelekesha huko kwa wasiojiheshimu ukichunguza utakuta SABABU ni nani? ( utakuta Vibuti,Kutoswa,Hiyana,ubabe nk) !!Umeelewa mada lakin? Mleta mada anasemea wale ambao hawajiheshim na wanao tumia ma.kalio na nyo.nyo kama chambo!!!! Au mim ndio sijamwelewa!?
Alafu unaposema ni mama zetu kama sikwelew!! Yani mama zetu na dada...shangaz zetu wasio jiheshim? Nooo!! Acha waliwe tu...tumechoka!!!