Mwanaume piga mashine

Mwanaume piga mashine

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,343
Reaction score
56,067
Katika mishe zangu za hapa na pale nikakutana na chura ya wastani,tukazoeana na mwisho wa siku tukabadilishana joto la mwili;kibaya zaidi amenogewa na mbaya zaidi ni mke wa mtu;kwa sasa anataka aachane na mmewe kisa mashine.
 
Hivi sasa hili ni tatizo la kijamii, yaani unang'ang'aniwa mpaka basi.

Hivi majuzi kati nimepewa na siri nzito za mwanandoa mwenza kuwa ana kibamia kisic hofaa hata kwa kurumangia na ugali.

Siku hizi natunukiwa hela, mashati mazuri nk kwa kupiga mashine ya kufa mtu.
 
ha ha ha ke wanapenda sana ku...tmb...wa
 
Boss! Utenge na mda wa kufanya kazi na kupanga.. Kumbuka kupiga tu mashine hakuleti Range Rover

So, kiasi kiasi
Uko sahihi mkuu cha muhimu ni kupangilia mambo yako,ila usijisahau muda mwingi ukauweka kwenye utafutaji tu;lasivyo mke/mchumba atagongwa na vijana wa vijiweni.
 
So what,

Kwamba tupige mashine ili wake za watu wahamie getho?
 
Lipia Tangazo mzeee...!! Sema baba tafuta hela Jf siku hizi wamejaa kina Nyete na Jokeri tuu Mashine kapige veta hukoo hapa pesaa...
 
Lipia Tangazo mzeee...!! Sema baba tafuta hela Jf siku hizi wamejaa kina Nyete na Jokeri tuu Mashine kapige veta hukoo hapa pesaa...
ha ha ha ha ukipata pesa inabidi upige mashine....ukitoa pesa alafu hupigi mashine kisawasawa utasaidiwa na vijana ambao ni ma-jobless
 
Back
Top Bottom