Unaamini katika NRNEHabari Wana JF natumaini muwazima
Ipo hivi kipindi Cha nyuma Kuna mwanamke wakirangi niliingia nae kwenye mahusiano japo tulikua tunagombana sana ila Kila nilipofanya juhud zakumuacha nilishindwa ilifikia mahali tunakaliana kimya wikinzima lakin swala lakuachana hatuachani
Ivi Sasa ninavyo zungumza niliama mkoa nakwenda kutafta maisha pengine ila ukaribu wangu na wake ukafifia Hadi kufikia kutotafutana kabisa.
Changamoto ninayopitia Sasa chanel haishiki vzuri Yan naweza nikawa na mwanamke nikajifos hisia nanikizipata tuu hata dakika sitoboi naombeni msaada
(Hakuna mabadiliko, Hakuna kudinda)No reforms. No erection
Jichue!Habari Wana JF natumaini muwazima
Ipo hivi kipindi Cha nyuma Kuna mwanamke wakirangi niliingia nae kwenye mahusiano japo tulikua tunagombana sana ila Kila nilipofanya juhud zakumuacha nilishindwa ilifikia mahali tunakaliana kimya wikinzima lakin swala lakuachana hatuachani
Ivi Sasa ninavyo zungumza niliama mkoa nakwenda kutafta maisha pengine ila ukaribu wangu na wake ukafifia Hadi kufikia kutotafutana kabisa.
Changamoto ninayopitia Sasa chanel haishiki vzuri Yan naweza nikawa na mwanamke nikajifos hisia nanikizipata tuu hata dakika sitoboi naombeni msaada
Ndio nnUnaamini katika NRNE
Asante hyo sadaka inatolewa kanisaniKiroho nyie ni mwili mmoja!hujarogwa hata!!
Kabla hujaanza mahusiano mapya ya kwanza uhusiano wa zamani kiroho!toa sadaka halafu nuiza "huyu simtaki aondoke maishani mwangu Kwa sadaka kiasi kadhaa nilichotoa"
Itachukua muda alakini utakua huru,ilinitokea hiyo hali kipindi fulani,japo yeye alinisaidia alipochepuka akaua muunganiko ule na Mimi ikawa rahisi kutoka!!
Ogopa sana mwanamke akiwa mwaminifu halafu wewe unataka kutoka,aiseh network Huwa inagoma kabisa!!
Fuata utaratibu!!
Tafuta mambo mengine ya kufanya yenyefaida zaidi.
Mawazo ya X. Avhans naye na futa kabisa kwenye akili yako. This is more of psychological.Habari ana JF natumaini mu wazima,
Ipo hivi kipindi cha nyuma Kuna mwanamke niliingia naye kwenye mahusiano japo tulikua tunagombana sana ila kila nilipofanya juhudi kumuacha nilishindwa ilifikia mahali tunakaliana kimya nzima, lakini swala la kuachana hatuachani.
Ivi Sasa ninavyo zungumza niliama mkoa na kwenda kutafta maisha pengine ila ukaribu wangu na wake ukafifia hadi kufikia kutotafutana kabisa.
Changamoto ninayopitia sasa chanel haishiki vizuri yaaninaweza nikawa na mwanamke nikajifos hisia nikizipata tuu hata dakika sitoboi.
Naombeni msaada.