Mwanaume mashine

D Metakelfin

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Posts
3,728
Reaction score
4,181
MWANAUME MASHINE??

Hivi umeshawahi kujiuliza kwa nini 99% ya watu wenye meno yenye rangi huwa hawawezi KUONGEA kabla ya kuweka mkono mbele kidogo ya mdomo wao????

Hivi umeshawahi kujiuliza ni AINA gani ya wanawake huwa wapigapo picha huweka makalio yaonekane na wala sio sehemu nyingine za MWILI wao???hawa hupuuza Maeneo yao ya juu ya MWILI.

Hivi unajua ni wanawake wa AINA gani ambao 97% ya picha zao katika fcbk hawawezi sehemu za chini za MWILI??? Yaani wao huweka picha ya USO tuu na kuzipuuza sehemu za chini za MWILI.

Hivi unajua tangu kuumbwa kwa dunia yetu hii ambayo ni sayari ya tatu kutoka kwenye jua,
Haijawahi kutokea MTU akaenda chooni kwa dhamira ya kujisaidia haja kubwa,ikaanza kutoka haja kubwa??? Mara zote haja mdogo lazima hutangulia kisha dhamira yake hufuata..
Huo ni ushahidi kwamba huwezi kununua gari huku unaishi nyumba ya kupanga,itakuwa ni kichekesho cha mwaka.

KWA WANAUME TUU...

Wako wanaume wanajisifu kwa kuwa na [HASHTAG]#swagga[/HASHTAG],
Kama umeweza kuchomoa mwanachuo yoyote wa chuo cha S.A.U.T au C.B.E bila kuifaidi PESA yako,naungana na wewe kwamba wewe ni mzee wa [HASHTAG]#swagga[/HASHTAG] na sio mtu wa mchezo mchezo.
Hao wadada huwa na "same language" na ni wachunaji wa ukweli,na hawana huruma,ni rahisi Ku date nao ila Utakuwa umejiingiza upotevuni.
 
Kwakwel sijaelewa hii Mada inadhamira gani
 
MHH KWANI NIMEAMKA VIBAYA AU MTOA MADA HAELEWEKI?? NGOJA NILALE NITAKUJA BAADAE KURUDIA KUSOMA
 
Ama kweli vyuma vimekaza.
 
Mada zingine ni hewa tupu yani, haieleweki kichwa cha habari kinazungumzia nini, main body inazungumzia nini na pia haieleweki hitimisho linazungumzia nini...

Inawezekana kaandika akiwa na mwanaume mashine....! Hapa lazima useme chochote vyovyote!
Teh teh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…