Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,433
- 11,749
Kwa hiyo wazungu hawachepuki sio
Wale wote wenye Ku hire sjui managers, sjui supervisors nk kumbe huwa ni wake zaoMwanaume mwenye akili unatakiwa uwe Na wanawake wengi.huyu anasimamia mradi huu yule mradi ule ,nk.
Mwanaume mwenye mke mmoja lazima afe maskini.maana hawezi kufanya uwekezaji
Aliye kuroga nani?Na mwanaume huwezi kuwa tajiri kama una mwanamke mmoja
Jidanganye hivyo hivyoMwanaume mwenye akili unatakiwa uwe Na wanawake wengi.huyu anasimamia mradi huu yule mradi ule ,nk.
Mwanaume mwenye mke mmoja lazima afe maskini.maana hawezi kufanya uwekezaji
Nafikiri hamaanishi mke wa ndoa, anamaanisha uhusiano wa kimapenzi na mwanamke nje ya ndoa.Bill Gates anao wake wangapi?
Utawaweza wanaume wajinga; kujitiaga ufahari na kuhalalisha mambo yasiyo na tija angalau na wao waonekane wamo. Maana kwenye mambo ya msingi kama uchumi, yamewashinda..ni apeche alolo angalau self esteem zipande kwenye ngono sasa.Inamaana utafiti wakoumehitimisha matajiri au wenye uwezo wote ni malaya na wasio na uwezo, vyeo au uwezo ni waaminifu kwa mwanamke mmoja?
Kwamba mali, utajiri, cheo, nafasi kwa mwanaume vinaenda sambamba na idadi ya wanawake?
Lazima according to who? Nyie bana hizo nguvu mnazozipoteza kwenye ngono, emu jitahidini mzipeleke kwenye uchumi. Sijui kwa nini wanaume wengi wa Kiafrica ndo wanakuwaga na mawazo ya hovyo hovyo, kama uchumi wao tu.Nafikiri hamaanishi mke wa ndoa, anamaanisha uhusiano wa kimapenzi na mwanamke nje ya ndoa.
Kwa hiyo ni kweli, mwanaume ambaye hana uhusiano na mwanamke mwingine nje ya yule rasmi, inawezekana kwa kipindi fulani tu, sio maisha yake. Au akiwa hayuko vizuri kiuchumi, au akiwa kwenye matatizo mazito, au kwa kuogopa kitu fulani, mfano anatarajia kuomba/kugombea cheo cha kisiasa!
Ila kama kila kitu kiko sawa, lazima atakuwa na mchepuko tu!
Wanawake mtuvumilie tu!
Mwanamke mke mmoja hatoshi, kwasababu ataingia siku zake,atakuwa mjamzito,atakuwa busy na malezi ya mtoto,so mchepuko una umuhimu wakeUtawaweza wanaume wajinga; kujitiaga ufahari na kuhalalisha mambo yasiyo na tija angalau na wao waonekane wamo. Maana kwenye mambo ya msingi kama uchumi, yamewashinda..ni apeche alolo angalau self esteem zipande kwenye ngono sasa. Maskini ndo nguvu zote anamalizia kwenye ngono, akiwa na uhakika tu w kuongeza kafriji ka pili basi na mke/mchepuko ushaongezwa. Na uzinzi/uasherati una asili ya kutapanya, sasa imagine mtu ana sh 200, wanawake 6 (bado watoto hapo), maskini utaisha? Lakini matajiri wengi, wanalinda ndoa zao maana wanajua wakizitibua, it means na uchumi wao utatibuka hivyo hivyo. Na ndo maana wenzetu hata utajiri wao kupotea kazi, unarithishwa tu kwa familia. Huku mtu mmoja ana familia 6, siku akifa utajiri lazima utapanywe kwa kila familia kila mtu ashike chake; kama ndo kampuni ishakufa.
Hakuna kitu kizuri kama kuheshimu ndoa na familia yako, automatically na uchumi wako utakuheshimisha pia. Kwa wale wanaume wenye akili njema " baraka zako zimefungamanishwa na mkeo, akicheka utacheka, akilia na wewe utalia tu"
Misconception!Wewe kaa hapo Na mkeo mkisubiria tar 30.cheki hata wazee wetu zamani walikuwa Na Mali nyingi kwasababu walikuwa Na wake wengi Na familia kubwa
Mwanamke mke mmoja hatoshi, kwasababu ataingia siku zake,atakuwa mjamzito,atakuwa busy na malezi ya mtoto,so mchepuko una umuhimu wake
Huna pesa mkuu kubali tuUnaongea usilolijua
Mama hata manabii walikuwa na wake wengi kumbuka hiloSema hakutoshi wewe binafsi, usiwasemee wanaume wenzio wenye akili zao timamu. Akiwa busy na malezi ya mtoto kwa nini usimsaidie majukumu (i mean msaidiane since mtoto ni wenu wote) ili huo ubusy upungue mpate muda wa kuenjoy pamoja? A fool doesn't need a reason to legitimize nonsense
Kwenye malezi sawa,vipi kuhusu mkiwa kwenye siku zenu mwezini?Sema hakutoshi wewe binafsi, usiwasemee wanaume wenzio wenye akili zao timamu. Akiwa busy na malezi ya mtoto kwa nini usimsaidie majukumu (i mean msaidiane since mtoto ni wenu wote) ili huo ubusy upungue mpate muda wa kuenjoy pamoja? A fool doesn't need a reason to legitimize nonsense
Duniani hakuna viumbe wabinafsi kama wanaume ,hasa hawa wenye rangi nyeusi !!!!!!!Sema hakutoshi wewe binafsi, usiwasemee wanaume wenzio wenye akili zao timamu. Akiwa busy na malezi ya mtoto kwa nini usimsaidie majukumu (i mean msaidiane since mtoto ni wenu wote) ili huo ubusy upungue mpate muda wa kuenjoy pamoja? A fool doesn't need a reason to legitimize nonsense
Man up first....Kwenye malezi sawa,vipi kuhusu mkiwa kwenye siku zenu mwezini?