Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Tanzania kuna makabila zaidi ya 120(wabantu wakiwa majority)...''hakuna uniformity'' kwa wote...
nipe tu hiyo posa mpenz, ntawapa mwenyewe wazaz.
mwenyewe kuna mtu nataka nikamtolee mahari
hui UZI NADHANI UTANIFAA
NB:mila zetu zinaruhusu kuoa
nipe tu hiyo posa mpenz, ntawapa mwenyewe wazaz.
hahaha...hatari umeona wapi huo mfumo