Mwanaume kuchukua mshahara wa mke

mhh pole ila si una account au ATM card unamuachia. ficha hizo hela anachukuaje zote mpaka unakosa ya kujikimu.
 
Wanawake wasomi MNA shida sana kwenye Ndoa. Ndio maana nilichaguliwa mtaani Demu wa kawaida tu, nsmuachia ATM anachukua salary naikuta home fresh, anatekeleza km tulivyokubaliana. Watoto wanaenda SHULE, tunafuga kwa saàna.
Ila nina mchepuko msomi, una hela lkn chenga nyingi.
 
MWENYEWE NINGEFAHAMU KABLA KUWA WANAWAKE WASOMI NI WASUMBUFU NINGEOA DARASA LA 7 TUISHI VIZURI. MAANA HAWA WASOMI UJUAJI MWINGI MNO.
 
Sasa kwa nini bado una mchepuko...kumbe asiye msomi bado sio sahihi
 
Dawa ya mwanamke mbinafsi mnakubaliana tu kila mtu ale hela yake .
 
Hapo anakuonea angekuachia ya matumizi binafsi. Elezea kwa wazazi wake wamwambie
Issue sio ubinafsi mkuu ninacholalamikia ni mtu kuchukua mshahara wa mwenzake wote na Bado ninapoenda kazini Hanipi hela ya matumizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…