Kuombana hela ni shm ya mapenzi kwa hiyo unataka aombe kwa nani?mwanamke jiulize hizo hela unazoniomba unataka nife maskini..?
Mkuu hela inakufanya umdhalilishe mtu??
wamezidi mara saluni,nguo,vocha,kiatu,pango,umsomeshe n.k wapo ambao angalau lkn wengine kiboko mpk unazima simu ukikutananae mtaani unakula chocho,gheto unarudi saa 6 usikuMkuu hela inakufanya umdhalilishe mtu??
kuna kuomba mpk kuzidi wengine ukimuacha gheto hukuti hata ndala...Kuombana hela ni shm ya mapenzi kwa hiyo unataka aombe kwa nani?
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Uwaulize wadada je ukifanyiwa kinyume na maumbile what is your future ???? Ukikubali kupigana picha za utupu je unajua kuna leo na kesho???? VP mkitengana....Habari wanaMMU.
Wanaume wamekuwa na tabia ambayo huenda hawajajua madhara yake au hawajafahamu nini matokeo ya kile wanachokuwa wanakifanya kwa wakati husika huko mbeleni.
Inatokea anakuwa na mahusiano na mwanamke/msichana na katika hayo mahusiano wakati mwingine anakuta amemdhalilisha mwanamke kiasi kwamba thamani ya huyo mwanamke inakuwa imepotea katika jamii yake.
Kwa mfano, unampiga mwanamke picha za uchi na kuzisambaza mitandaoni.
Wakati mwingine unamuingilia kinyume na maumbile na baadaye unaamua kumuanika mitandaoni kwa sababu ya kutofautiana kwenu.
Huyu mwanamke uliyofanyia huu uchafu sasa inafikia wakati anapaswa kuwa mke wa mtu na kuzaa watoto,
Jiulize hii laana ya kumtia doa mwanamke ambaye hukuwa na mpango nae kimaisha anaibeba nani maana ni kwamba mwanaume mwenzako unakuwa umemtwisha msalaba usiomuhusu.
Hakika hii LAANA itakufikia.
Sure. Kama picha inayohitajika ni ya tunda, kwa nini upige hadi mizizi au matawi? C upige tunda peke ake?mtu kama unapigwa picha za uchi kwa nini uweke uso??😀 kiherehere chake kimemponza na wakome kabisa....picha ya uchi apige uchi na si vinginevyo
kiukweli sio fair na ni udhalilishaji wa hali ya juu, we kama nyama ushapiga c ukae utulie ... Mwanaume mzima mku.nd** unakuwasha unaanza kuanika mambo uliomfanyia binti hadharani.. Co poa.. Ila kumbuka boko nawe utaliwa...Mkuu hela inakufanya umdhalilishe mtu??