Mwanaume jina nimfanyeje?

Aisee sasa mimba alishaipata duu pengine alitegemea itamfanye jamaa atangaze doa faster...kweli wanawake nanaume wametoka sayari tofauti kabisaaaaa.
hapo ahangaike na yake na alee mimba ajifungue salama kuji stress na huyu kiumbe ni bure tu maana kwa miaka 9 kua kwenye uhusiano na mpaka sasa hajawai kumwelewa jamaa anahitaji miujiza huyo.
 
Kuna mwanaume wa kuchukua mtu mjamzito????
 
Miaka 9 halafu bado analeta drama.....

Yaani unamwaga asubuhi na mapema
 
Yaani unatufanya sisi watoto wadogooooooooo! unamwita mwanaume Jina Mchumba wa mwenzio! Acha utoto kichwa cha habari kinasema ni wewe,afu content unaleta ...eti rafiki yangu ! Huyo jamaa hakupendi ila ameshindwa kukwambia usepe! Jiongeze
 
Facts!
 
Ni bora ubaki mmoja kuliko udhani mko wawili wakati mwenzio anakuona kisiki tu,wadada chukueni hatua msilazimishe kuishi na mtu ambae haonyeshi furaha kuwa na wewe mtaishi kwa maficho ficho mpaka lini? Kumbuka Akupendae kweli hakuachi uteseke kwa jambo lililo ndani ya uwezo wake
 
Anataka aende wapi wakati washaza mtoto pamoja... Avumilie mpaka siku yake ikifika...

Cc: mahondaw
 
hahahahahahha mkuuu mbavu zangu,
eti hawabustiwi kwa mimba
loooh ni kweli aisee wala hawashtuki kabisa
 
Yaani unatufanya sisi watoto wadogooooooooo! unamwita mwanaume Jina Mchumba wa mwenzio! Acha utoto kichwa cha habari kinasema ni wewe,afu content unaleta ...eti rafiki yangu ! Huyo jamaa hakupendi ila ameshindwa kukwambia usepe! Jiongeze

hahahahaaha
anamwita mwanaume jina na huku anamtaka? pls tuheshimu hawa wanaume tusilete mazarau ya hela
mie napenda hela ila sipendi kumdharau mwanaume aisee na uzuri napenda hela yangu

hahahahahhahaha
 
mkuuu ujue nakupendaga sana

loooh mawazo yako kuntu
 
Yaani unatufanya sisi watoto wadogooooooooo! unamwita mwanaume Jina Mchumba wa mwenzio! Acha utoto kichwa cha habari kinasema ni wewe,afu content unaleta ...eti rafiki yangu ! Huyo jamaa hakupendi ila ameshindwa kukwambia usepe! Jiongeze
Rafiki yake lkn anajua details kuliko muhusika[emoji15] [emoji15] uwongo mwingine banaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…