MWANAUME INGIA HAPA

Aina ya wanawake wa kuepuka maishani mwako:-
1. Mwanafunzi
2. Mke wa mtu

Kama wewe Malaya, Kuna wanawake wengi sana mtaani mpaka baani.

Kuamua kuingia kwenye mahusiano na mke wa mtu ni dharau na kumkosea heshima Mwanaume mwenzako. Zaidi matokeo yake huwa mabaya sana.

Mwanafunzi ni mtoto au mdogo wako, mara nyingi wao hawajali maana maisha halisi hawayajui. Ni wewe unayepaswa kujizuia na kuwaepuka.
 
Sasa kuna watu hao ndo watu wao
 
Watu wenye hekima na akili za kimafia walifanya yote hayo lakini waliishia kusema za mwizi ni 40.
 
Cha kufia nini na maisha magumu hivyo.. si utafute mke wako mmoja umtunze, umpende alafu ujipimie mbona watu mnapenda maisha ya shida hivyo bila sababu ya msingi.
 
Cha kufia nini na maisha magumu hivyo.. si utafute mke wako mmoja umtunze, umpende alafu ujipimie mbona watu mnapenda maisha ya shida hivyo bila sababu ya msingi.
Mke hatoshi_
 
Hivi wewe ndo umeweka na tangazo la kuuza madirisha na milango ya alminium?

Ushapoteza baadhi ya wateja kwa taarifa yako maana mtu akikusoma hapa anajua kabisa huyu sio wa kuambatana nae kwa lolote.

Nakumbuka waume wa watu ndo wateja wakubwa wa bidhaa zako.

Shame on you.
 
Usisahau kuwashauri wabebe na futa la kutosha ili wakifumaniwa mambo yawe rahisi.
 
Umeacha na hizi hapa:-
- Usipokee namba mpya ovyo ovyo bila tahadhari.
-Usikurupukie dili usilo na taarifa wala uhakika nalo ukaishia "Baby Lotion"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…