Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,092
- 2,923
Na wote kwa pamoja tuseme "Amina"Habari wanajukwaa wale wa bongo dar es salaam poleni na mvua za kifurushi Cha buku jero.naenda straight to the topic kwamba mwanaume ili upendwe lazima uwe na vitu hivi inshort P.C.M(POSITION.CAR.MONEY) .Mimi Ni victim wa vibuti Sana hasa pale nilipokuwa chuoni nilitokea mdada mmoja alikuwa anatake MD (Dr of medicine) .Aisee nijibiwa sorry Kaka Sina HISIA (feelings) na wewe nikajiuliza Mara mbili kwanini kila siku vibuti Mimi tu,ndipo nikafanya research kwa kutumia methodology ya kuja mtaani na kutokea mademu wa kitaa. A.k.a(wakina ashura,mwajay,arapha)..Aisee wakajua status yangu Ni mwanachuo ndipo wakanikubalia Sasa mtaani nishamaliza Kama darasa zima.Ewe kijana wa kiume usikipigwa kibuti jiulize unapesa?,je una gari?,je una nafasi gani katika sekta fulani?,Kama huna bro kwa nguvu zote saka hela hata Kama Ni mfupi Kama Mimi utapendwa tu... conclusion huwezi fika Mia kabla hujaanza moja..(usihangaike na vidada vya chuo per day unahonga pakubwa unakula padogo... wakati mtaani elfu kumi tu,unapata watoto wa Kali.. we call it a day...!
We call it a day[emoji23][emoji23][emoji23]Habari wanajukwaa wale wa bongo Dar es salaam poleni na mvua za kifurushi cha buku jero.naenda straight to the topic kwamba:
,Je? Una nafasi gani katika sekta fulani? Kama huna bro kwa nguvu zote saka hela hata kama ni mfupi kama mimi utapendwa tu.
Conclusion huwezi fika mia kabla hujaanza moja..(usihangaike na vidada vya chuo per day unahonga pakubwa unakula padogo... wakati mtaani elfu kumi tu,unapata watoto wa Kali.. we call it a day...!
Manyana my friendWe call it a day[emoji23][emoji23][emoji23]
In muddy physics voice...
Uswahilini mkuu kuna watoto wazuri cheap mno!!nilianza kupanga mbezi kule nmekaa miez kama 9 hiv,siku hiyo naenda tandika kwa bro(alisafiri),yaani nmekaa wiki 2 nimeona kama nilichelewa sana....mbez nlikuwa naonekan hohehahe flan ila uswaz madem wakawa wananiona kama Don flan!!!!dem nmempa 25 alinishukuru kam nmempa roho!!sio wale unatuma 100k anatak na yakutolea
hahhhhh....respect is earned not given....By nature mim ni mtu bahali Sana tokea nikiwa sec mpka chuo hawa wadada kila naemtaka kinachofanya nakataliwa nilikuja gundua ni ubahili plus hela ilikua yakubahatisha sasa nilipota kazi nikasema nitadeal na wake za watu tu mpka Leo navoandika hapa nishalala na wake za watu wasiopungua 47 ndani ya miak7 hawana gharama ila uwe makini tu
kwa hisani ya Free basics...cc mahondaw nakubali mwamba..
hahah mkuu umenikumbusha hivi muddy physics bado yupo pande zileWe call it a day[emoji23][emoji23][emoji23]
In muddy physics voice...
issue boy.....hahah mkuu umenikumbusha hivi muddy physics bado yupo pande zile