Mwanaume Hanithi anayehitaji mke

Ni bora tumuuliza atupe elimu, labda ana sababu musimrukie tu, hebu bibi tupe kidogo kuna nn nyuma ya pazia? Au umeamua kuchangamsha JF tu?
 
mweee!

watu wa dunia hii....hata shetani nina hakika anatushangaaga saa zingine kwa kweli!
 
Tuseme, aliupatia ukubwani huo uhanithi?? Sometimes huwa wanashtukaga mara moja tu kwa mwaka, kama vile anasikia wakiimba HBD to yuuu akastuka. Naskia siku hiyo ka upo karibu waweza beba. Je ka huyo, unamtaka??
 
Na ukipata ambaye si full hanithi lakini ni wa mara moja kwa mwezi? Au kama ana kibamia so small kwamba hakifikii hata mlango wa papuchi?
 
Utapata tu ndugu! Ila niyako iwe ya kweli sio kumuumiza zaidi mkaka wa watu. Neno ulilotumia tu ni kali sana kumuogopesha mlengwa kukufuata.
 
kueleweka hapo ni ngumu sana, hebu fafanua kidgo, utata upo kwenye tendo la heshima ya ndoa utafanya na nani? au utakuwa unavunja amri ya sita,? na jee hujui kuwa ndoa ya jinsia moja ni kinyume cha sheria? manake mwanaume hanithi ni kama mwanamke tu! na jee, jee?
 
Hivi hanidhi ndio mwanaume gani ?
 
Acha unyanyapaaji! Huwezi ukamfananisha mwanaume mwenzako kama mwanamke! Huo ni ulemavu tu kama ulemavu mwingine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…