Mwanaume hakimbii vita

Vipi na huyo mwanamke ambaye hakimbii vita akaacha mtt
Ndio maana yake, mama haachi mwanae vitani hata kama anaona adui anakuja kwa kwasi ameshika bomu,
 
Ndio maana yake, mama haachi mwanae vitani hata kama anaona adui anakuja kwa kwasi ameshika bomu,
[emoji106] [emoji106] [emoji106]
Mama yupo radhi afe na mwanae bt siyo kukimbia vita na kuacha mtt.
Upendo wa kweli wa mama
 
Reactions: sab
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…