torvic JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,443 Reaction score 11,025 Apr 23, 2016 #1 ivi kati ya mwanaume na mwanamke ni nani anaweza kuishi maisha ya ki sungle bila mausiano ya mapenzi na asishawishike kirahisi sasa wadau nijuze ukwel nani anaweza kupotezea mapenz na akadumu kwenye msimamo huo. men or women???
ivi kati ya mwanaume na mwanamke ni nani anaweza kuishi maisha ya ki sungle bila mausiano ya mapenzi na asishawishike kirahisi sasa wadau nijuze ukwel nani anaweza kupotezea mapenz na akadumu kwenye msimamo huo. men or women???
Kyambambembe JF-Expert Member Joined Jan 19, 2015 Posts 326 Reaction score 354 Apr 23, 2016 #3 Mm hapa tu
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,888 Apr 23, 2016 #4 Kwa maisha haya bongo nahisi na nadhani si'mda mrefu wanaume tutaweza tu.mtu una stress za kulipa pango,mtoto uliezaa na Mwajuma anataka hela ya kwenda shule,una deni ulikopa na biashara zimekataa huyo mwanamke utakuwa na hamu nae saa ngapi!
Kwa maisha haya bongo nahisi na nadhani si'mda mrefu wanaume tutaweza tu.mtu una stress za kulipa pango,mtoto uliezaa na Mwajuma anataka hela ya kwenda shule,una deni ulikopa na biashara zimekataa huyo mwanamke utakuwa na hamu nae saa ngapi!
NIMPENDENANI JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 6,114 Reaction score 5,398 Apr 24, 2016 #5 Mwanamke akiamua kaamua...