pretty good
Member
- Sep 17, 2016
- 36
- 26
Soma vzur mkuu26 yrs looking for above 40 yrs ? too silly
Soma VIZURI kasema awe under 40..nadhani umesoma haraka.. Swali LA kizushi hivi wewe na miss NATAFUTA ni mtu na mwenzi wake??26 yrs looking for above 40 yrs ? too silly
ngoja nije pm ..am under 26Sifa
- Si zaidi ya miaka 40
- Mkristo, mlokole atapewa kipaumbele
- Awe na kipato halali, anajitegemea.
- Elimu si chini ya form 4
Mimi sina uwezo wa kuzaa na nimejiajiri.
Karibu tufarijiane!
Kwa alieserious anifuate PM
Soma VIZURI pale mwisho kasema ukiwa serious ka PMNipe contact zako
swadaktakuna mtu aliwah kupost thread kuwa walokole wana roho mbaya...naanza kuamin!inaonekana ww mlokole na ndio maana unahitaj mlokole mwenzako ila ulokole wako batili,kwa yafuatayo
kwanza,mlokole gani unaekuwa mbaguz et unahtaj mume ila kipaombele kwa mkristo mlokole
pili,nyinyi huwa mnasema mume mwema utapewa na bwana inakuaje ww unamtafta jf
tatu,unatafta mume ukijifanya unatanguliza dini wakat unabagua wasio soma,je yesu nae alikuwa m'baguz?
Nne,mlokole gani unaeka maswala ya kipato mbele et awe na kipato? wakat nyinyi ndio mnatuaminisha kuwa mtu hataishi kwa mkate ila kwa neno la bwana!!!!
NB:jiulize kwanini mpaka umri huo huna mtu!
umeachika mala ngapi!,
kwanini wanaume hawakufat hadi unaamua kuwafata
KAMA HUNA MUME KWAKUWA NI MJANE POLE ILA KAMA NI VINGINEVO BHAS JUA UNA MATATIZO
Mfarijiane kwa kungonoana bila kinga?Sifa
- Si zaidi ya miaka 40
- Mkristo, mlokole atapewa kipaumbele
- Awe na kipato halali, anajitegemea.
- Elimu si chini ya form 4
Mimi sina uwezo wa kuzaa na nimejiajiri.
Karibu tufarijiane!
Kwa alieserious anifuate PM
Sifa
- Si zaidi ya miaka 40
- Mkristo, mlokole atapewa kipaumbele
- Awe na kipato halali, anajitegemea.
- Elimu si chini ya form 4
Mimi sina uwezo wa kuzaa na nimejiajiri.
Karibu tufarijiane!
Kwa alieserious anifuate PM
Tunakuombea japo naona kama umekata tamaa haraka au vipimo vimeshathibitisha hilo?Miaka yangu ni 26
Mimi ila sio bikra
Ameomba muwasiliane pmNope contact zako