Unachoshangaa ninii? jamaa kukosa hela au dadako kutake care?Mbona yote yanawezekana. Mtu yeyote anaweza kukosa hela na pia mme au mke anaweza tunza familia. Labda kama jamaa anfanya makusudi but kama hana hela kweli hamna mgogolo. Na nakushauri kuacha kufuatilia ndoa za watu kisa eti dada anapata shida. That is someone's wife.
hapo ndo unajua kuna wanaume na boys..
mpe pole your sister kwanza na pili,nimeona wanawake wengi tu ambao waume zao wako hivyo.1..let her stand on her feet and get the family moving kwa wachagga(achacharike)..asikae akisubiri mwanaume ampe pesa ya kila kitu.
Second option ni kuongea na mumewe vizuri ajue shida ipo wapi,ikishindikana the first option to be taken
Thirdly,aongee na wazazi wa mume na wake pia kuhusu hilo tatizo,ikishindikana,FIRST OPTION AGAIN.
wana watoto wawili probably wana more than four years kama mume na mke.hiyo tabia ameianza tu hapo kati au alikuwa ni kawaida yake toka mwanzo?ushauri wa haraka sister atafute hela popote ikibidi akope ili amtibishe mtoto,mengine watayasolve badae.
Labda hana kazi, maana mwenyewe umesema hua anatoka na hajulikani aendapo.
Kwa kweli hata huyo mke wake amefanya makosa kwa sababu haiwezekani tokea wamefunga ndoa hajui mume wake anafanya kazi gani wala analipwaje. Kutokana na hali hiyo mimi siwezi kutoa ushauri wowote
Kaaazi kweli kweli.Kwa kweli hata huyo mke wake amefanya makosa kwa sababu haiwezekani tokea wamefunga ndoa hajui mume wake anafanya kazi gani wala analipwaje. Kutokana na hali hiyo mimi siwezi kutoa ushauri wowote
Mtu irresponsible ni yule mwenye uwezo lakini kwa sababu azijuazo yeye mwenyewe hatimizi majukumu yake.