Mwanaume anahitaji nguvu ya ziada kuishinda nguvu ya Malaya

kama unataka uishinde hii nguvu.jitahidi kuwa bize muda wote,usitembelee maeneo ya starehe au maeneo yenye warembo warembo..lasivyo lazima wakuteke tu hata kama sio mwili, watateka nafsi yako.
 
Yes! ndio maana tunaaswa kuikimbia zinaa na sio kushindana nayo maana roho ya uzinzi ngumu kuishinda kwa akili ya kibinadamu.
 
Ha ha ha ha tatizo fedha zikiwa mfukoni zinakuambia nipeleke kwa warembo,kwa hiyo tunaweza kujizuia hasa pale tunapokuwa tumechacha.
 
kama unataka uishinde hii nguvu.jitahidi kuwa bize muda wote,usitembelee maeneo ya starehe au maeneo yenye warembo warembo..lasivyo lazima wakuteke tu hata kama sio mwili, watateka nafsi yako.
jamen hivi hamna scientific explanation ya feelings na sexual impression? duh maana vidume tunapata mshike mshike tukikutana na haya mambo. Yaan ni mwendo wa kushtuka too late ushaua bendi!!!!
 
Ha ha ha ha mapenzi ni Sanaa na siyo sayansi
 
Back
Top Bottom