Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
Akiulizwa faida iliyopatikana iko wapi,hakuna majibu ya uhakika na vitu vimepunguaAlikuta mambo gan mkuu dukan jamaa ako huyo!!
Umenena vyema mwanamke hatakiwi kupewa mamlaka makubwa kwa familia
Mkuu naona nukta tu
Labda mkuu ila mimi haiingii kichwani kabisaSio wote Mkuu!
Kuna mwanamke mwingine unakutana nae mpaka unajiuliza unempa nini Mungu jinsi mwanamke alivyo mzuri ana akili na alivyo na heshima!
Mkuu unawatetea bwanaInategemea mwanamke na mwanamke sio wote
Hiyo nukta inashika nafasi baada ya kusoma ndio mchango unafataMkuu naona nukta tu
Siwatetei mkuu huo ndio ukweliMkuu unawatetea bwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo nukta inashika nafasi baada ya kusoma ndio mchango unafata
Hahah!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ntakuwa nawahi na mimiHahah!!!
Dawa ndio hiyo unatia nukta kwanza alafu ndio unaanza kusoma ukianza kutoa mchango unaedit ile nukta yako tu na mchango ukakaa pale pale juu [emoji23][emoji23]Ntakuwa nawahi na mimi
Kila jambo unaloliona linayumba duniani limetokana na makosa ya mwanaume kwa kuwa hata ukiangalia kwenye masuala ya Mungu,vitabu vitakatifu vinatuambia MUNGU ni baba,Yesu Kristo ni wa kiume,roho mtakatifu hivyo hivyo,ndio maana utatu huu mtakatifu umekuwa na misingi imara sana KWA KUWA UNATIMIZA MAJUKUMU YA KIUME.Mambo ya kuwaacha wanawake watutawale haya ndiyo yanaleta ulimwengu huu ujute,acha kumpa mwanamke majukumu makubwa kwa kisingizio unampenda,akili zao zina change hawa.Nimeongea hivi kwa kuwa jirani yangu kamwachia mwanamke wake wake ofisi ya vifaa vya ujenzi kitu alichokikuta anakijua yeye,kisa anamuamini mwanamke
Ukija na povu,nina mapipa kibao ya maji
MWANAUME AKIKOSEA WATU HUANGAIKA SANA
hebu jielezee wewe ulivyo maana kutwa kucha washinda JFInategemea mwanamke na mwanamke sio wote