Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,622
- 10,262
WanawakeMkuu tuache mihemko tuongee uhalisia ni jinsia gani inaongoza kwa ushenzi na usaliti kwenye ndoa tangu enzi mpaka sasa
Nimesoma comment nikabaki tu kushangaa!Kiongozi tuache mihemko tuongee uhalisia ni jinsia gani inaongoza kwa ushenzi na usaliti kwenye ndoa tangu enzi mpaka sasa
Vipi ndiyo umemaliza au unaendeleaWanawake
Unadhani Delila alimfanya nini Samson
Hawa je?
Delila alimsaliti Samson kwa ajili ya mapenzi?Wanawake
Unadhani Delila alimfanya nini Samson
Hawa je?
Nimecheka hapo kwenye kifo cha mende jinsi walivyo wengi chumbani kwangu 🤔🤣🤣🤣Maelezo yote hayo nikajua utaongelea wale waoga wa kupambana kutafuta pesa, kumbe unawaponda wanaogoma kuoa? Mtego huo tumeushitukia[emoji16][emoji23].
Hakuna mtu hapendi kuoa, ila ushenzi, uhuni, ujambazi na usariti wa wanawake ndio unaofanya vijana wakatae ndoa, hizo ndoa zimekua jambo rahisi sana kwa wanawake ndiomaana hawaziheshimu, sasa wanaume waliobahatika kufunguka akili wakaona kulko kujiingiza mitegoni mwa ndoa ni bora wafanye mambo mengine, na sio uoga kama mnavyosema ninyi.
Ushauri[emoji117]..Kijana kataa ndoa za mchongo kwa nguvu zako zote na akili zako zote, na hayo mengine yoote utazidishiwa, ikiwepo, pesa, afya ya akili na mwili, uhai na maisha marefu, baraka nyingi.
Ndoa si kwa kila mtu, hata hivyo hakuna ulazima wa kuoa, hayo mawazo sijui mnayapata wapi kuwa lazma kila mtu aoe ama kuolewa.
Wanaokataa ndoa wako timamu msiwakosoe bali wahojini mujue sababu zao.
Ndoa ni taasisi inayokwenda kujifia kifo cha mende kama wafuasi wa hizo ndoa hawatobadiri mindset za ukisasa, uzungu na uhuni uhuni wa kipumbavu.
Wewe ni shoga, unajua watu wakioa utakosa wajinga wa kukunyandua!Maelezo yote hayo nikajua utaongelea wale waoga wa kupambana kutafuta pesa, kumbe unawaponda wanaogoma kuoa? Mtego huo tumeushitukia[emoji16][emoji23].
Hakuna mtu hapendi kuoa, ila ushenzi, uhuni, ujambazi na usariti wa wanawake ndio unaofanya vijana wakatae ndoa, hizo ndoa zimekua jambo rahisi sana kwa wanawake ndiomaana hawaziheshimu, sasa wanaume waliobahatika kufunguka akili wakaona kulko kujiingiza mitegoni mwa ndoa ni bora wafanye mambo mengine, na sio uoga kama mnavyosema ninyi.
Ushauri[emoji117]..Kijana kataa ndoa za mchongo kwa nguvu zako zote na akili zako zote, na hayo mengine yoote utazidishiwa, ikiwepo, pesa, afya ya akili na mwili, uhai na maisha marefu, baraka nyingi.
Ndoa si kwa kila mtu, hata hivyo hakuna ulazima wa kuoa, hayo mawazo sijui mnayapata wapi kuwa lazma kila mtu aoe ama kuolewa.
Wanaokataa ndoa wako timamu msiwakosoe bali wahojini mujue sababu zao.
Ndoa ni taasisi inayokwenda kujifia kifo cha mende kama wafuasi wa hizo ndoa hawatobadiri mindset za ukisasa, uzungu na uhuni uhuni wa kipumbavu.
CR7 hajaoa, Elon Musk hajaoa, Bezo hajaoa, Cena hajaoa, DiCaprio hajaoa, Simba hajaoa, Aliko Dangote hajaoandoa