Ni ndugu na Kassim ndo alikuwa msemaji wa familia pale Mudi alipokuwa ametekwa.Kassim na mohamed dewji n ndugu mkuu au majina tu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
hapana mkuu hawana undugu kabisaaNi ndugu yake Mo?
sio ndugu ni majina tu mkuu.Kassim na mohamed dewji n ndugu mkuu au majina tu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Timu ishakuwa ya familiaKassim na mohamed dewji n ndugu mkuu au majina tu?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Alikuwa msemaji ni Azim Dewji, sio Kassim DewjiNi ndugu na Kassim ndo alikuwa msemaji wa familia pale Mudi alipokuwa ametekwa.