cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 651
Mwanasheria huyo amemshinda Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru baada ya TAKUKURU kumuachisha kazi kwa uonevu kupitia vyombo vya habari kuwa aliomba na kupokea rushwa kitu ambacho hakikuwa kweli.
Niwazi Mkurugenzi alikurupuka kwa kudanganywa na Mkuu wa TAKUKURU mka wa Njombe kuwa mwanasheria huyo aliomba na kupokea rushwa kupitia kwa mlinzi wa Takukuru kitu ambacho kilipangwa na mkuu huyo wa TAKUKURU Njombe Bw Charles Nakimbetwa ambaye alijuwa na ugomvi na ue siku nyingi tangu wakiwa kituo cha kazi Sumbawanga juu ya kesi za pembejeo ambapo mkuu huyo alikuwa anamlazimisha mwanasheria huyo kuwasaidia baadhi a mawakala wa pembejeo wasishitakiwe.
Bw Charles Nakimbetwa amekuwa na ugomvi na watumishi wengi TAKUKURU na baadhi kuwafukuzisha kazi kwa hila tu wanapopingana na yeye juu ya maovu yake.
Tuhuma zilizokuwa zinamkabiri mwanasheria huyo zilipashwa kudhibitishwa na mahakama kwanza baada ya kufanyika uchunguzi wa kina bali Nakimbetwa alimtegeshea mtego wa rushwa mwanasheria huyo kwa kushirijiana na Mkuu wa TAKUKURU Makete kupitia kwa mlinzi wa TAKUKURU Makete Julius Hassan ambapo mlinzi huyo tarehe 28/6/2016 alidaiwa kukamatwa na rushwa aliyomuomba Bw Boniface Nyaruke amabapo mlinzi huyo alisema ametumwa na Frednand Nsakuzi kisha Bw Charles Nakimbetwa kutangaza kwenye vyombo vya habari haraka haraka ili kumchafua mwanasheria huyo.
Mkurugenzi wa TAKUKURU pasipo kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha na tuhuma hizo wala kufuatilia historia ya mahusiano yao huko nyuma alimfukuza kazi mara moja mwanasheria huyo kupitia magazeti na redio kwa barua kali na hakumlipa stahili zake zozote hadi leo hii.
Ndipo mwanasheria huyo aliungua kesi ktk Tume ya Usuhishi ya Migogoro kazini akipinga kufukuzwa kazi pasipo kufuata utaratibu na pasipokuwa na sababu za msingi na tarehe 04/05/2017 alishinda kesi hiyo.
Lakini cha kushangaza ni maamuzi yaliyotolewa na mwamuzi wa tume ya usuluhishi kutokuwa ma vigezo vya kuitwa hukumu kwani inamapungufu mengi ikiwemo kutokusema iwapo mwanasheria huyo arudishwe kazini au vipi na fidia aliyotoa ni kidogo mno kulingana na kesi ya msingi.
Vilevile inaonesha wazi mwamuzi alikuwa upande wa mwajiri kwa kujikita kudhibitisha zaidi tuhuma ya rushwa badala ya kuangalia mgogoro husika wa kuachishwakazi pasipo halali na kufuata taratibu na kisha kutoa adhabu ya kupunguza kiasi cha fedha alichoomba mlalamikaji kulipwa kama fidia kutoka Tshs 118mln hadi Tshs 30mln mlalamikaji eti kaidanganya tume,kama kaidanganya tume amempaje ushindi???.
Ni wazi mwanasheria huyo alionewa kwa chuki tu ili kumkomoa kwa ugomvi uliokuwepo siku nyingi kati yaokwani ugomvi wao kati ya Bw Nakimbetwa na Bw Nsakuzi niwa siku tangu wakiwa Rukwa Bw Nsakuzi akiwa mwendesha mashitaka mkoa wa Rukwa na Nakembetwa akiwa mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Rukwa,
Baadhi ya vitu vibaya Bw Nakimbetwa alivyomfanyia mwansheria huyu alivyomfanyia ni pamoja na kumuandikia barua chafu za mara kwa mara na maonyo yasiyokuwa na msingi psipokumfikisha kwenye kamati za maadili,kumsimamisha asiendeshe kesi,kumunyima posho zake,nk
Ni vizuri mkurugenzi mkuu amuwajibshe Bw Nakembetwa kwa kumpa taarifa za uongo akimuaminisha kwamba mwanasheria huyo aliomba na kupokea rushwa na pia kukimbilia kutangaza kwenye vyombo vya habari kuwa wamemkamata mwanasheria huyo na yuko ndani akisubiri kufikishwa mahakamani wakati siyo kweli na hata uchunguzi ulikuwa haujafanyika na mwansheria alikuwa yuko kazini.
Watumishi TAKUKURU tumekuwa tukionewa kwa kufukuzwa kazi pasipokufuata utaratibu bali chuki tu na kwa sasa TAKUKURU imefukuza watumishi wengi na wameishitaki CMA wengi wameshinda na kutakiwa kurudishwa kazini au TAKUKURU kuwalipa fidia lakini Mkurugenzi hajafanya hivyo kwa kiburi tu.
Tunaomba uongozi wa juu ulifuatilie hili ili kupata ukweli na huyu mkuu wa TAKUKURU Njombe achunguzwe kwa hila zake mfano kwanini yeye tu ndiyo agombane na mwanasheria huyo na kumuandikia barua chafu kila anapokuwa chini yake na siyo akiwa chini ya viongozi wengine?
Ni wazi viongozi na watumishi wa TAKUKURU wanatambua ugomvi uliokuwepo dhidi ya Bw Nakembetwa na Bw Nsakuzi tokea Rukwa ambapo Bw Nakembetwa alificha kielelezo muhimu(fomu ya fedha za mtego) ktk kesi ya rushwa iliyokuwainamkabiri hakimu mmoja kwa jina Mpitanjia na kumsingizia mwanasheria huyo wakati Bw Nakembetwa ndiye alikuwa na hicho kielelezo na mwanasheria huyo hakuwa akiendesha hiyo kesi na hakuhusika kwa lolote ndipo uchunguzi ulifanyika na Bw Nakimbetwa ikaonekana kahusika wakamshusha cheo na kumrudisha makao makuu Dar Es Salaam na watumishi zaidi ya 10 kuhamishiwa vituo vingine vya kazi kwa wakati mmoja na Bw Nsakuzi kuhamishiwa Makete ambapo baadae alikutana na Bw Nakembetwa kama mkuu wake tena ndiyo bifu likaendelea.
Huyu Bw Nakembetwa ana makosa mengi ila wanamlea tu kwa vile amesoma na baadhi ya viongozi wa TAKUKURU,akiwa Songea aliwahi kuiba gearbox ya landcruser ya Ofisi na kuifunga kwenye Coaster yake akaachwa tu,Sumbawanga kipindi cha uchunguzi wa kesi za pembejeo aliomba pesa kwa ajili ya mafuta kwa mkuu wa mkoa wa kipindi hicho akapewa kwa Tawaqal lakini akachukua hela,n.k.
Ni wazi Bw Nakembetwa anamuonea wivu huyu mwanasheria kwani ni mpiganaji na mtafutaji watumishi wote tuwe wakweli tunaomfahamu kwani akiwa Singida tu aliwahi kuwa mkulima mzuri wa mbogamboga akiwa anaishi sabasaba hadi kituo cha daladala jirani na kwake kikaitwa kwa MCHICHA na pia alikuwa mfugaji wa kuku mzuri tu,kwa waliowahi kufanya nae kazi wanafahamu hilo.
Na aliweza kujikwamua kutoka kada ya chini hadi kuwa mwendesha mashitaka ndipo akahamishiwa Rukwa na kukutana na Bw Nakembetwa ambaye alitaka afanye anavyotaka yeye hasa kuwasaidia watuhumiwa wa kesi za pembejeo na mwansheria huyo kusimama imara ndipo akaanza kumuzushia uongo kila mara.
Wafanyakazi wenzangu tuwe wakweli juu ya Bw Nakimbetwa hasa Bw Festo Mapuli mtumishi uliyeko Shinyanga kwa sasa Bw Nakembetwa alikufukuza kazi kwa hila ukahangaikia haki yako Ofisi ya Rais na kwa Katibu mkuu ukarudishwa kazini kimyakimya,unaweza kulisemea hili.
Watumishi wote tuliokuwa Rukwa 2010hadi 2013 na hata Njombe kwa sasa tuwe wakweli juu hili ili kumsaidia Mh Rais kuwawajibisha viongozi kama hawa.
Kuna kuna mtu atasema namuonea huyu Bw Nakembetwa anaweza kufuatlia yabia za huyu mtu kwakweli anaumiza watu sana,sana.
Hapo njombe amekuwa akimtaka kiamapenzi mfanyakazi wa kike kwa jina Teddy na kumkatalia ndipo akaanza kumnyanyasa kwa kumpangia kazi za ulinzi usiku Ofisi peke yake huku akijua kabisa ile ni Ofisi nyeti ulinzi unatakiwa uwe imara muda wote na hata alidiriki kulazimisha kesi zilizokuwa zifunguliwe Makete chini ya Bw Nsakuzi zihamishiwe Njombe ili tu aweze kuomba rushwa akijua kabisa siyoutaratibu.mfano ni kesi dhidi ya Mkandarasi Mbilia,na pia kuwaitwa watuhumiwa kutoka wilayani kuja kuonana nao Njombe mjini wakati uchunguzi ukiendelea mfano Afisa ardhi wa Makete Anikasi Vilumba.
Pia Nakembetwa amekuwa akijilipa safari hewa za wilayani na kuzidisha siku kwa kumlazimisha mhasibu wa Takukuru mkoa wa Njombe bwana Mtambo amlipe.
Na mbaya zaidi alifukuzwa kazi hata hakupewa hata shilingi moja kama stahili ya kuachishwa kazi huu ni uonevu uliopitiliza na hasa kwa chombo kama TAKUKURU kinachotakiwa kutenda haki,je walio nje ya TAKUKURU itakuwaje?
Bw Nakembetwa amewahi kumuamuru mkuu wa pori la Mpangakipengere kurejesha fedha 4mln ofisini akazitumia hadi leo hazijulikani ziko wapi.
Wafanyakazi waokuwa wasaidizi wake wamekuwa wanamkimbia kwa kuomba uhamisho bila mlipo mfano mzuri ni Bwa Mlingi na Bw Uledi.
Iwe fundisho kwa viongozi wanaokurupuka kufukuza watumishi kwa hila,tunatambua Mkurugenzi mkuu alidanganywa kwa kupewa taarifa za uongo,Waziri mwenye dhamana na Mh Rais fuatilieni TAKUKURU kuna mazito!!