- Jamani kweli kijana Mtanzania unasimama mbele ya bunge unamuita Baba wa Taifa ni mnafiki kisa na mkasa ni nini hasa jamani katiba tu? haiwezekani lazima kuna mengine nyuma ya pazia he!! khaaaa!!
Le Mutuz System
- Unajua mpaka leo siamini kwamba Freeman Mbowe alikuwa amekaa pale anamsikiliza huyu dogo na hakusema kitu. kweli Freeman unaamini baba yako marehemu mzee Aikaeli alikuwa anakubali kusafiri kila kona ya Tanzania na MWalimu huyu anayetukanwa na Mbunge wako namna hii? jamani kweli sasa Chadema mnaitafuta laaana!!
Le Mutuz System
Hao wamama wa ccm wanao tukana huwaoni?
ni haki ya kikatiba ya Tundu lissu kusema lolote regardless Nyerere ni nani,
wewe pia ni haki yako kikatiba kulia vyovyote utakavyo ila all in all tunahitaji tanganyika yetu.
Ha ha haa ama kweli dunia ina mambo, wewe kila siku watu wanakuambia humu mambo ya kukumbatiana na vitoto na kupiga picha unamuaibisha mzee wetu pale Kazembo huwa unajibu nini!!!???????
Kaka hebu acha masihara bana leo umejua matendo ya watoto yanatia aibu wazazi wao au hata kuwafedhehesha!!!?????
Consistent ni taabu sana kwa baadhi yetu humu kumbe!!!!
Wenyewe ndo wanamuona mjanja bonge la Spin Doctor wa Lumumba eti! Papaa Msofe, Alex Masawe haya ni maneno yake mwenyewe akidhani anampaka matope Mhe Lisu! Hoja alizozitoa Tundu Lisu zilikuwa za nguvu kiasi cha Ikulu ikilazimika kutoa nyaraka ya Muungano baada ya miaka 50! Kifuatacho ni kuangalia content za hiyo nyaraka kwa undani zaidi! Hapa napo mtegemee hoja za nguvu kutoka kwake! Kwa tunaojua kinachoendelea tunasema SASA Ngoma Inogile!!! ndo kwanza saa 4! Jiandaaeni vilivyo! Inasemekana Mmeagiza kupewa msaada wa kisheria USA na kuwa Technocrats wako Mwanza wakianza kuwa noa akina Chande et al! Suala la Msingi hapa ni Je? Katiba hii itakuwa ya Marekani au ya Wananchi wa Tanzania?...only time will tell....Una uhakika hayo maneno yote uliyoyanukuu yalisemwa na Tundu Lisu? au mengine umeongezea mwenyewe ili kuhalalisha hoja yako?
- Kaka mbona kama huwa nakuona una akili I mean kusimama mbe;le ya umma kumtukana baba yako aliyetangulia mbele ya haki unasema ni sawa? Kisa katiba tu?
LE Mutuz System
Hata wewe????? Umesha lambishwa na ccm nini?? Ulimfuatilia Lisu akiwasilisha au umesoma huo ugoro wa Le Mutuz??Kwa hakika lissu amemfedhehesha sana mwalimu. Hivi kwa akili ya kawaida tu mwalimu angekuwa mpuuzi kuleta muungano bila hati? lissu ambe radhi.
Ninyi mnaouza twiga wake na kuuza madawa ya kulevya sehemu aliyoiita takatifu mbona hamuombi radhi?
Lisu amekosa maadili,huwezi muita baba wa taifa Tapeli au Jambazi,
- Kaka mbona kama huwa nakuona una akili I mean kusimama mbe;le ya umma kumtukana baba yako aliyetangulia mbele ya haki unasema ni sawa? Kisa katiba tu?
LE Mutuz System
- Yaani mimi Celebrity kupiga picha na Macelebrity wengine unasema ni sawa na Tundu Lissu kusimama mbele ya bunge na kumtukana matusi ya nguoni baba wa Taifa? Are u serious au unatania?
Le Mutuz System
tafadhali Le mutuz thibisha kauli hii kama kweli alisema Mh.Lissu vinginevyo mods wafanye utaratibu wa kurudisha hadhi ya jukwaa hiliTundu Lissu.. "yule Nyerere aliishi maisha ya ulaghai,udanganyifu na vitisho kama vile majambazi/matapeli Papaa Musofe na Alex Massawe!?"