Mwanasheria Mkuu (AG) LIVE-ITV

Mwanasheria Mkuu (AG) LIVE-ITV

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
811
Ndugu Jaji fredrick werema, Anazungumzia kuhusu Sheria ya Marejee ya katiba, kifupi anautetea mshwaada!washa tv angalia!
 
Amesema eti anayetaka kuvunja muungano ni MWENDAWAZIMU. Kanitukana kabisa ngoja na mimi nimtukane na wewe ni m. . . . . !
 
Amesema eti anayetaka kuvunja muungano ni MWENDAWAZIMU. Kanitukana kabisa ngoja na mimi nimtukane na wewe ni m. . . . . !

anasema yeye si ccm hali anahudhulia vikao vya ccm si kikwete aliueleza kuwa mwanasheria mkuu alifafanulia juu ya hukumu ya dowans kwenye cc na nec wakakucliana walipe leo hii anakana
 
Werema hajui anamuwakilisha nani hapo alipo!!ipo siku ataitwa mbele ya familia ya JK awaeleze wana familia JK ni nani na ana majukumu gani!!nadhani hana JD ndio maana anapaparika kila asipotakiwa kuwepo yupo asipotakiwa kuzungumza analazimisha kuzngumza mvivu wa kusoma na hana fikra
 
Nilitamani sana yule Mtangazaji amuulize japo hapakuwa mahali pake Kuhusu 'malipo' ya Dowans yamefikia wap! Yeye mapemaaa 2 asbh alishauri Dowans walipwe. Nonsence 'Ag'
 
Nimeshangaa kwa mtu wa calibre kama yake kuona watu wengine kwamba hakuelewa muswada wa kuunda kamati ya kusimamia katiba mpya! Generally AG amekuwa very partisan na anaongea kama kada wa ccm!
 
Yeye km mwanasheria mkuu vikao vya Nec alienda kufata nin? Hata km ni mwaliko, leo km chadema ikimwalika atakwenda? Mwanasiasa tu yule!
 
Acha akazunguke mijumba yoote nchini yenye uwezo wa kuonyesha sura kwenye kioo, lakini msimamo wetu sie wengine huku Uswahilini uko paaale pale hadi kieleweke!!!

Mwacheni Werema akabwatuke apendavyo tu.
 
Natamani sana Mheshimiwa Dr Slaa aje akamteue Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe Makungu, aje akafanye kazi katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na hili linjemba lizezeta (Werema) likapewe kamahakama ka wilaya huko kwao Mara ndani ndani sijui Bunda huko kwa kuwa amejawa mno ushabiki wa CCM kwenye maswala ya kitaaluma.

Yeye km mwanasheria mkuu vikao vya Nec alienda kufata nin? Hata km ni mwaliko, leo km chadema ikimwalika atakwenda? Mwanasiasa tu yule!
 
Hii ya mwanasheria mkuu wa serikalli kuhudhuria vikao vya chama imekaaje?Hawa jamaa inaonekana wanashindwa kuelewa kuwa serikali na chama ni vitu tofauti na watumishi wa umma hawapaswi kuonyesha ushabiki wao kwenye siasa
 
Nilibahatika kumsikiliza Mwanasheria mkuu na nilichokitambua ni kwamba:

i) Hakujibu maswali aliyoulizwa mfano swali: Je mikataba mibovu nchi iliyoingia imesababishwa na wanasheria kutukua na ujuzi wa masuala ya kitaaluma? Jibu lake: Huwezi kusema hivyo kabla hujafanya uchunguzi.....
Swali hilo lilikuja baada ya maelezo yake marefu ya kuwatetea wanasheria kuhusu mikataba mibovu nchi iliyoingia eti hawana ufahamu wa mambo ya taaluma kama uchumi na hapo akatoa mifano ya terminologies mbalimbali za kiuchumi.
ii) Anauelewa mdogo wa mambo ya taaluma yake ya Uanasheria
iii) Anakiburi cha hatari....(from his body language)

Hitimisho: Namuonea huruma Raisi wetu. Hivi anawapata wapi miongoni mwa watanzania wanataaluma watu wa aina hii. Wanaiumiza serikali kwa udhaifu wao.
 
kweli kabisa kabisa huyu jamaa hafwai hafwai, kwa mfano hiyo ya rites waliokuja na hela sifuri leo wanadai mabillioni, na kuelezwa toka mapema watu walisema kama huu mkataba batili, labda tuseme serikali nzima watu wana maslahi yao, lakini kiukweli hili haliwezi kutokea kokote duniani kwenye utawala bora, kuanzia top, mpaka bunge na mahakama zinazofaa.
 
Sikupenda kabisa majibu yake kama mwanasheria mkuu ya serikali, anaulizwa swali badala ya kujibu anatoa dharau hata kwa yule anayemhoji mfano ''Wewe umezaliwa lini". Amediriki kuwaambia watanzania hawaelewi kwa maana wameshindwa hata kuuelewa hata muswada, Amewashangaa wasomi na kuwaona ni vilaza wameshindwa kuelewa muswada na akaenda mbali na kusema labda hawakuelewa kwasababu ya lugha. Kwa maoni yangu huyu ni sawa na Anna Makinda ambaye ameshindwa kabisa kuliongoza bunge na kuamua kuilinda, na kuitetea CCM. WEREME = CCM = MAKINDA
 
anasema mswaada utakuja na maboresho, mabadiliko makubwa, wananchi tutegemee makubwa!
 
Back
Top Bottom