Sio kweli,ila inabidi awe busy na kitabu Muda woote vinginevyo atadisko maana kozi za engineering ni ngumu,yaani baadhi ya masomo no magumu hasa ya electronics, programming,hesabu yake ni pure mathematics na inaongezeka baadhi ya vitu kidogo, pia inavitu vingi sanaaa,kiufupi anatakiwa awe busy na kusoma vinginevyo atashtukia semester imeisha hava cover vitu vingi,asiogope akomaeMwanangu kachaguliwa NIT.DIPLOMA OF ELECTRICAL ENGINEERING WITH RAILWAY ELECTRIFICATION.jana kaenda kufuatilia admission kakutana na wanaosoma kozi hiyo wakamtisha hiyo kozi ni ngumu sana.eti wanaanzaga 300 wanafanikiwa kufaulu 50 tu...
Course nyepesi ni ipi mkuu maana umesema engineering ni ngumu.Sio kweli,ila inabidi awe busy na kitabu Muda woote vinginevyo atadisko maana kozi za engineering ni ngumu,yaani baadhi ya masomo no magumu hasa ya electronics,programming,hesabu yake ni pure mathematics na inaongezeka baadhi ya vitu kidogo, pia inavitu vingi sanaaa,kiufupi anatakiwa awe busy na kusoma vinginevyo atashtukia semester imeisha haha cover vitu vingi,asiogope akomae
KSio kweli,ila inabidi awe busy na kitabu Muda woote vinginevyo atadisko maana kozi za engineering ni ngumu,yaani baadhi ya masomo no magumu hasa ya electronics,programming,hesabu yake ni pure mathematics na inaongezeka baadhi ya vitu kidogo, pia inavitu vingi sanaaa,kiufupi anatakiwa awe busy na kusoma vinginevyo atashtukia semester imeisha haha cover vitu vingi,asiogope akomae
Course nyepesi ni ipi mkuu maana umesema engineering ni ngumu.
Ugumu wa course inategemea vitu vingi ikiwemo 1)Idadi ya module kwa semester 2)Idadi ya content kwa kila module 3)Wingi wa content kwa kila moduleCourse nyepesi ni ipi mkuu maana umesema engineering ni ngumu.
Mwambie afanye jitihada awe miongoni mwa hao 50. Mwambie ajiaminiMwanangu kachaguliwa NIT. DIPLOMA OF ELECTRICAL ENGINEERING WITH RAILWAY ELECTRIFICATION jana kaenda kufuatilia admission kakutana na wanaosoma kozi hiyo wakamtisha hiyo kozi ni ngumu sana.eti wanaanzaga 300 wanafanikiwa kufaulu 50 tu.
Je kuna ukweli kwenye hili naona ka panic.
Wazoefu mtujuze.usikute ni ile tabia ya watanzania kukwamishana.ndio maana hatuendelei.
Badala ya kutiana moyo na kuhamasishana sisi tunakwazana.