Mtoto ana umri gani? Je anaharisha mara ngapi kinyesi cha aina hiyo kwa siku? Maana hii huwa hali ya kawaida kwa mtoto hasa yule ambae mnaanza kumuanzishia vyakula ambavyo hajazoea maana yeye ashazoea maziwa ya mama.
Lakini pia kama hana Homa..Hatapiki au halii muda wote kuashiria maumivu pia ukisikiliza tumbo haliungurumi. Mtafutie Pedzinc na ORS japo kwenda Hospital ni Best option ukizingatia ni mtoto mdogo.